Mahojianos
- Wote
- Afya
- Afya ya udongo
- Kilimo
- Lishe
- Masuala ya jamii
- Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
- Mifugo na ufugaji nyuki
- Miti na kilimo mseto
- Shughuli za baada ya mavuno
- Taarifa za masoko na soko
- Usafi na usafi wa mazingira
- Usawa wa kijinsia
- Uzalishaji wa mazao
Kamati za maji zinasaidia wanavijiji, hususan wanawake na watoto
Piga kiashirio cha kipindi kwa sauti ya chini Mtangazaji: Mpendwa msikilizaji, karibu katika kipindi cha leo. Inafahamika vizuri kuwa maji ni moja kati ya mahitaji muhimu kwa uhai wa maisha ya mwanadamu. Maji ni lazima yawe safi. Uhaba wa maji unasababisha magonjwa ya ngozi kwa vile watu wanakuwa hawaogi. Hali kadhalika, maji yasiyo salama yanaweza…
Jumuiya zinazoishi karibu na misitu zinajipatia kipato huku zikitunza mazingira
Mtangazaji: Habari za asubuhi msikilizaji. Je, unahabari kuwa unaweza kusaidia kulinda mazingira? Vizuri, kipindi cha leo kitakusaidia kuelewa ni kwa vipi unaweza kutunza vitu vya asili. Kipindi hiki ni kuhusu uzoefu wa wanavijiji watatu katika eneo moja la misitu lililoko Kusini Magharibi mwa nchi ya Cameroon, na jinsi walivyosaidiwa na shirika moja lisolo la kiserikali…
Wakulima huko Niger wananufaika kwa kuacha miti kukua katika mashamba yao
Mwenyeji: Karibu, wasikilizaji. Leo tutazungumza juu ya shughuli ya kilimo inayoitwa Kisiki Hai (Farmer Managed Natural Regeneration) au FMNR, ambayo hufanywa na wakulima wengi kusini mwa Niger. Katika FMNR, wakulima wanalinda na kusimamia kikamilifu aina ya miti katika mashamba yao ili kurudisha mimea kwenye eneo lenye ukame na kuboresha mazao yao na mapato yao. Aina…
Jinsi ya kuzuia na kutibu vimelea vya minyoo katika ngombe: ushauri kutoka kwa mtaalam wa mifugo na mfugaji
MWENYEJI: Ndugu, marafiki wapenzi na wasikilizaji! Tupo katikati ya mbuga ya nyika mbele na kando kidogo ya sehemu ambako ng’ombe maksai wanapewa chanjo. Kijiji cha Didango kipo kilomita ishirini kutoka mji wa Foumban. Foumban ipo katika Idara ya Noun, katika Wilaya ya Magharibi ya Kameruni. Wanyama wa kufugwa ni chanzo kikuu cha maisha kwa asilimia…
Wakulima nchini Malawi wanatumia kinyesi cha wanyama kulinda mazao yao dhidi ya mbuzi wenye njaa
Mtangazaji: Habari ya asubuhi mpendwa mkulima. Ufuatao ni mfululizo wa kipindi kingine kiitwacho Nini kipya kinachokujia kupitia redio yako uipendayo. Leo tutabaini ni nini kipya katika kilimo cha msimu wa baridi. Uko nami, mtangazaji wako, Andrew Mahiyu. Katika kipindi cha leo, ambatana nami katika katika wilaya ya Nkhotakota ili ujue uvumbuzi mpya. Je unaweza kuhisi…
Mkulima mbunifu anatumia magunzi ya mahindi yaliyosagwa kuhifadhi mahindi
Waigizaji Mwenyeji Mr. Bio Doko, mkulima Mpangilio: Gbégourou, mojawapo ya vijiji vya soko la Parakou, katika jiji kubwa nchini Benin. Kiashiria cha kufungua na kutambulisha kipindi, halafu unashusha sauti chini MWENYEJI: Halo, mpendwa msikilizaji! Karibu katika kipindi chako. Mazungumzo ya leo yatahusu njia ya kukinga mahindi yako na wadudu wakati wa kuhifadhi. Wakulima huhifadhi mahindi…
Maranda ya mbao yaongeza maisha ya ghala kwa viazi batata
Wimbo wa Kitambulisho: Uendelee kwa hadi nukta tano kisha ufifie chini ya sauti ya mtangazaji. Mtangazaji: Viazi batata ni zao la chakula muhimu nchini Kenya. Huwa vinakuzwa katika nyanda za juu za mikoa ya Kati, Bonde la Ufa na Magharibi. Hata hivyo, usalishaji na uuzaji wa viazi hutatizwa na hali duni ya uhifadhi ambayo hupunguza…
Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo
Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…