Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Afya

Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19

Juni 11, 2022

1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini. a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia? a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala…

Maswali ya Mahojiano yaliyopendekezwa: Taarifa za chanjo ya COVID-19 na hatua za kuzuia Maambukizi

Juni 11, 2022

1. Kwa nini chanjo zilitengenezwa kuzuia COVID-19 badala ya tiba za kawaida kama vile dawa za kumeza? a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Je, chanjo ni rahisi zaidi na haraka kutengeneza kuliko dawa? a.i.1. Ni muda gani inachukua kutengeneza chanjo ya COVID-19? a.i.1.a.Ni kwa namna gani chanjo ya COVID-19 ilitengenezwa kwa haraka? a.ii. Je, kwa sasa…

Matangazo kuhusu chanjo za COVID-19, uhimizaji wa chanjo, hatua za afya ya umma na usawa wa kijinsia na ushirikishwaji

Machi 21, 2022

  Tangazo 1: Vaa barakoa na uvae ipasavyo MSIMULIZI: Janga la COVID-19 limekuwa la kuchosha-na bado halijaisha. Lakini usikate tamaa! Tunahitaji kuendelea kuwa imara kwa kila mmoja wetu, na kulinda marafiki zetu, familia na jamii. Kwa hivyo hata kama umechanjwa kikamilifu, endelea kuvaa barakoa inayofunika pua na mdomo wako. Ili barakoa ikulinde, lazima ikae vizuri…

Mahojiano na wataalamu: Utendaji mzuri kwa waandishi wa habari na wataalamu

Mei 30, 2017

Pakua na hariri taarifa hii kwa matumizi yako Utangulizi   Kufanya mahojiano na wataalamu kunaongeza mengi katika kipindi chako cha kilimo. Inawapatia wasikilizaji taarifa za kuaminika. Usisahau pia baadhi ya wakulima ni Wataalamu pia. Tafadhalii elewa kwamba Muongozo huu ni kwa ajili ya waandishi na wataalamu, kwa sababu ni muhimu kwa waandishi na wataalamu kujua….

Maelezo mahususi: Batobato ugonjwa wa mihogo

Aprili 13, 2017

Save and edit this resource as a Word document. Kwanini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Batobato (CMVD) ni ugonjwa mkali na uliosambaa zaidi katika nchi za Africa kusini mwa Jagwa la Sahara. Mihogo iliyoathiriwa na Batobato inazalisha mihogo kidogo au haizai kabisa kulingana na ukithiri wa ugonjwa na umri wa mmea kipindi ugonjwa…

Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo

Machi 1, 2005

Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…