Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Usawa wa kijinsia

Hasira za Vizuizi: Ukatili wa Kijinsia wakati wa COVID-19

Novemba 5, 2020

Sehemu 1 MAZINGIRA: NYUMBANI KWA FORIWAA WASHIRIKI: FORIWAA, DANIEL, WATOTO (SERWAA, MTOTO, & PAAPA) SFX: MZIKI DANIEL: Mpenzi, tunahitaji kuzungumza. Punguza sauti ya redio na uje hapa. FORIWAA: Ndio, mpenzi. DANIEL: Angalia, nimekuwa nikifikiria juu ya hali yetu hapa nyumbani, na nina wasiwasi sana juu ya maisha yetu. Tangu kuibuka kwa janga hili la COVID-19,…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 4

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Nyumbani kwa Farida. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mlango unagongwa. 4. Wahusika: Farida, Jenny. 5. SFX: MLANGO UNAGONGWA KWA NGUVU. 6. FARIDA: (AKIKARIBIA MIC) Nakuja!… Nakuja! 7. SFX: FARIDA ANAFUNGUA MLANGO. 8. FARIDA: (KWA MSHANGAO) Jenny! Hujaenda gereji leo? 9. SFX: JENNY ANAINGIA NDANI. 10. JENNY: (KWA HOFU) Nini…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 3

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Kiwanda. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Kelele za honi ya lori. 4. Wahusika: Farida, Stella, Sigi, Mlinzi. 5. SFX: KELELE ZA HONI YA LORI. 6. SIGI: (ANAPIGA KELELE MBALI NA MIC) Oya fungua mlango bwana! Alaa! 7. MLINZI: (KWA HARAKA) Nakuja kiongozi! 8. SFX: MLINZI ANAFUNGUA GETI NA LORI…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 2

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Ndani. Kituo cha polisi – Ofisi ya Afande Kaifa. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Afande Kaifa anakoroma. 4. Wahusika: Afande Kaifa, Mzee Kaifa, Afande Filipo. 5. SFX: AFANDE KAIFA ANAKOROMA USINGIZINI. 6. SFX: MLANGO UNAGONGWA. 7. AFANDE KAIFA: (ANASHTUKA KWA HASIRA) Nini tena? 8. AFANDE FILIPO: (ANAFUNGUA MLANGO NA KUINGIA)…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 1

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Barabarani. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Gari na mziki ndani ya gari. 4. Wahusika: Jenny, Mr. Patel, Mvulana. 5. SFX: INJINI YA GARI HUKU MZIKI UKISIKIKA NDANI YA GARI. 6. SFX: MR. PATEL ANAIMBA KUFUATISHA MZIKI. 7. SFX: GHAFLA KELELE KAMA ZA PANCHA ZINASIKIKA. 8. MR. PATEL: (ANASHTUKA) Ohoo!…