Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
Matangazo ya Redio kuhusu kilimo cha ikolojia nchini Tanzania
Tangazo #1: Kutumia pembejeo za Kilimo ikolojia MSIMULIZI: Wakulima! Ili kupata mavuno mengi na kuimarisha mazingira ya shamba lako kwa wakati mmoja, ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa pembejeo za kilimo ikolojia. Hapa kuna vidokezo vitano! Kwanza, pata taarifa zote zinazowezekana kuhusu pembejeo za kilimo unazohitaji. Pili, tafiti vyanzo vyote vinavyowezekana vya mbegu za…
Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo
Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…