Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Kilimo

Matangazo ya Redio kuhusu kilimo cha ikolojia nchini Tanzania

Oktoba 26, 2022

Tangazo #1: Kutumia pembejeo za Kilimo ikolojia   MSIMULIZI: Wakulima! Ili kupata mavuno mengi na kuimarisha mazingira ya shamba lako kwa wakati mmoja, ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa pembejeo za kilimo ikolojia. Hapa kuna vidokezo vitano! Kwanza, pata taarifa zote zinazowezekana kuhusu pembejeo za kilimo unazohitaji. Pili, tafiti vyanzo vyote vinavyowezekana vya mbegu za…

Kuchagua mbegu na kuzihifadhi kwa msimu ujao kwa kuzingatia kanuni za kilimo

Oktoba 4, 2022

SFX: SAUTI YA JUU HALAFU YA CHINI MTANGAZAJI: Mabibi na mabwana, karibuni katika kipindi cha leo, ambapo tutakwenda kujifunza kuhusu kuchagua na kuhifadhi mbegu za msimu ujao kwa mbinu za kilimo. Ili kulizungumzia hili, nilimtembelea Bwana Emmanuel Kakore, mkulima anayeishi kijiji cha Kisiwani, Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa Tanzania. Emmanuel Kakore…

Kutatua changamoto za mmomonyoko na uharibifu wa udongo huko Karatu, Tanzania

Julai 21, 2022

MTANGAZAJI: Habari za asubuhi, wasikilizaji. Katika programu ya leo, tutajadili jinsi mmomonyoko na uharibifu wa udongo umeharibu ardhi ya kilimo na kuathiri uzalishaji wa kilimo kwa wakulima wadogo katika wilaya ya Karatu nchini Tanzania. Wilaya ya Karatu iko katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania. Pia tutajadili hatua zilizochukuliwa ili kukabiliana na matatizo hayo na…

Taarifa za Awali: Faida za upandaji wa Mazao mbalimbali kwa njia ya mseto

Juni 3, 2022

Utangulizi   Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wadogo wanapaswa kufahamu: Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno yao. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna maelewano kati ya mahindi…

Athari za COVID-19 juu ya upatikanaji wa mboga zilizotolewa shambani na jinsi wakulima na wengine wanavyokabiliana na athari hizi

Oktoba 22, 2020

SFX: SIMU INAITA KAMBOLE: Halo, mimi ni Kambole Kanyanta katika Ofisi ya Kilimo ya Wilaya. Naweza kujua ni nani anayepiga simu? FILIUS: Jina langu ni Filius Chalo Jere, mtayarishaji wa kipindi cha redio cha Kilimo ni Biashara kutoka Breeze FM. Naweza kufanya mahojiano na wewe kwa njia ya simu? KAMBOLE: Vipi kuhusu? FILIUS: Kuhusu athari…

Taarifa za awali: Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu

Agosti 7, 2020

Save and edit this resource as a Word document Utangulizi: Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, wafanyabiashara, na watumiaji. Wakati, hadi sasa, minyororo ya thamani ya nafaka…

Taarifa za kina: Kupunguza upotevu wa mahindi baada ya mavuno

Novemba 4, 2018

Pakua na hariri taarifa hii kwa matumizi yako Utangulizi   Kwa nini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wa mahindi, wafanyabiashara na wasindikaji wanapaswa kujua: Jinsi gani ya kutunza mahindi baada ya kuvuna na kuepuka upotevu na kuepuka kushambuliwa na wadudu. Vifaa sahihi vya kuvunia. Muda muafaka wa kuvuna mahindi. Namna gani…

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Mei 5, 2018

Save and edit this resource as a Word document. Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika…

Utangulizi wa Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’

Mei 4, 2018

Save and edit this resource as a Word document. (500 KB) Download the photos mentioned in this resource. (300 KB PDF) A. Utangulizi Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’, wenye jina la kisayansi la Spodoptera frugiperda ndio wadudu wakuu zaidi wanaoathiri mazao ya chakula. Viwavi hivi hupenda kula mihindi michanga lakini pia imeripotiwa kuwa wanauwezo wa…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…