Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Kilimo

Utunzaji wa ndama na mama yake

Agosti 10, 2018

PEACOCK: Leo, nina vidokezo kwa mtu yeyote ambaye ana ng’ombe mmoja au zaidi na anataka kuzalisha ndama wenye nguvu na afya ambao hawawezi kupata magonjwa kwa urahisi. Kwa kuanza, kuwa na ndama aliyezaliwa na afya, mama wa ndama lazima awe na afya wakati ndama anakua ndani yake. Ili awe na afya, lazima awe na malisho…

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Mei 5, 2018

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika vizuri katika kutunza udongo. Kiasi cha ufunikaji udongo unaostahili….

Utangulizi wa Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’

Mei 4, 2018

A. Utangulizi Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’, wenye jina la kisayansi la Spodoptera frugiperda ndio wadudu wakuu zaidi wanaoathiri mazao ya chakula. Viwavi hivi hupenda kula mihindi michanga lakini pia imeripotiwa kuwa wanauwezo wa kula baadhi ya mimea mingine, ikiwemo mawele, mtama, mchele, ngano, miwa na mboga. Asili ya wadudu hawa ni nchi zilizo katika…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 4

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Nyumbani kwa Farida. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mlango unagongwa. 4. Wahusika: Farida, Jenny. 5. SFX: MLANGO UNAGONGWA KWA NGUVU. 6. FARIDA: (AKIKARIBIA MIC) Nakuja!… Nakuja! 7. SFX: FARIDA ANAFUNGUA MLANGO. 8. FARIDA: (KWA MSHANGAO) Jenny! Hujaenda gereji leo? 9. SFX: JENNY ANAINGIA NDANI. 10. JENNY: (KWA HOFU) Nini…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 3

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Kiwanda. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Kelele za honi ya lori. 4. Wahusika: Farida, Stella, Sigi, Mlinzi. 5. SFX: KELELE ZA HONI YA LORI. 6. SIGI: (ANAPIGA KELELE MBALI NA MIC) Oya fungua mlango bwana! Alaa! 7. MLINZI: (KWA HARAKA) Nakuja kiongozi! 8. SFX: MLINZI ANAFUNGUA GETI NA LORI…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 2

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Ndani. Kituo cha polisi – Ofisi ya Afande Kaifa. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Afande Kaifa anakoroma. 4. Wahusika: Afande Kaifa, Mzee Kaifa, Afande Filipo. 5. SFX: AFANDE KAIFA ANAKOROMA USINGIZINI. 6. SFX: MLANGO UNAGONGWA. 7. AFANDE KAIFA: (ANASHTUKA KWA HASIRA) Nini tena? 8. AFANDE FILIPO: (ANAFUNGUA MLANGO NA KUINGIA)…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 1

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Barabarani. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Gari na mziki ndani ya gari. 4. Wahusika: Jenny, Mr. Patel, Mvulana. 5. SFX: INJINI YA GARI HUKU MZIKI UKISIKIKA NDANI YA GARI. 6. SFX: MR. PATEL ANAIMBA KUFUATISHA MZIKI. 7. SFX: GHAFLA KELELE KAMA ZA PANCHA ZINASIKIKA. 8. MR. PATEL: (ANASHTUKA) Ohoo!…

Ufafanuzi: Ulimaji wa kina kifupi kwenye kilimo hifadhi

Mei 30, 2017

Je, uhifadhi wa kulima kina kifupi ni nini na kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kilimo hifadhi hujumuisha kulima kina kifupi ama kutolima kabisa. Kwa kawaida inahusisha kufanya matuta ya kupanda kwa mkono, au kutumia maksai wa ng’ombe-au trekta na majembe maalum ya kutoboa udongo yaitwayo ripa*. Maelezo juu ya njia hizi mbili…

Taarifa za awali: Kilimo Hifadhi

Mei 29, 2017

Utangulizi Siku hizi, wakulima wadogo wadogo wanakumbana na changamoto kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini kilimo hifadhi kimeonyesha kuwa wanaweza kupata mafanikio katika ugumu huu. Kilimo hifadhi kinatoa njia rahisi ambayo wakulima wanaweza kuitumia ili kupambana na athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi na kujifunza kulima mashamba amba kwa kuzingatia “uasilia wake”. Hii…