Taarifa za kinas

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Taarifa za kina: Uzalishaji wa Mahindi

Pakua na hariri taarifa hii kwa matumizi yako Utangulizi: Mahindi ni zao la nafaka muhimu sana katika nchi za kusini mwa Bara la Afrika, na inaweza kuzalishwa na wakulima katika maeneo mbali mbali bila kumwagiliwa. Leo hii wakulima wanazalisha mahindi zaidi kuliko zao lingine Duniani na mahitaji ya zao la mahindi Duniani inategemewa kuongezeka zaidi…

Utangulizi katika mikufu ya thamani

Utangulizi. Mkufu wa thamani sio kitu unachoweza kukiona. Bali, mkufu wa thamani ni njia nzuri ya kuelewa namna ulimwengu wa uzalishaji, ununuaji na uuzaji vitu unavyofanya kazi. Sisi sote ni sehemu ya mkufu wa thamani kwa namna moja ama nyingine kama wazalishaji, walaji wa bidhaa na huduma, wasindikaji, wauzaji wa rejareja, wafadhili, nk. Kama walaji…

Jinsi wakulima hukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Jinsi ya ongezeko la joto duniani huathiri hali ya hewa Inaonekana kwamba kila mtu sasa ameshasikia kuhusu “kupanda kwa joto duniani” au “mabadiliko ya hali ya hewa”. Hewa inabadilika na dunia kupata joto kwa sababu ya vitendo vya binadamu – kama vile kuchoma makaa ya mawe, mafuta na gesi kwa ajili ya nishati – vinaongeza…

Njia ya kupumnzisha Mashamba iliyoboreshwa kwa wakulima wa Afrika

Kuna tofauti gani kati ya njia ya asili ya kupumnzisha shamba na njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba? Njia ya asili ya kupunzisha shamba ni kupumnzisha tu shamba kwa kutokulilima. Kawaida huachwa kwa mimea asilia kumea kwa muda mrefu ili kurejesha rutuba ya udongo. Njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba pia ni kupumnzisha shamba kwa shughuli za…

Mwongozo kwa watangazaji kwa magonjwa ya mifugo

Kuna aina nyingi sana za magonjwa ya mifugo ambapo kwa mtu asiye mtaalam wa mifugo ni vigumu kufahamu. Makala hii hutoa mambo machache ya msingi mnamo kumi na mbili kuhusu magonjwa muhimu zaidi ya mifugo na yanayoenea. Maelezo haya ni ya msingi, lakini yanaweza kukusaidia kuamua magonjwa ya kuzingatia wakati wa kubuni kipindi cha redio.…