Taarifa za kinas

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Utangulizi: Uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili

Maana ya uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili Kulingana na shirika la kimataifa la uhifadhi wa mazingira (IUCN), uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili unaweza kufafanuliwa kama “hatua za kulinda, kudhibiti kwa uendelevu na kurejesha mifumo ya asili na iliyorekebishwa kwa njia zinazoshughulikia changamoto za kijamii kwa njia ipasayo, ili kutoa faida za…

Taarifa za Awali: Faida za upandaji wa Mazao mbalimbali kwa njia ya mseto

Utangulizi   Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wadogo wanapaswa kufahamu: Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno yao. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna maelewano kati ya mahindi…

Majibu kwa Maswali yako yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu chanjo za COVID-19

  Jedwali la Yaliyomo   Taarifa za Msingi Ni chanjo gani za COVID-19 zinapatikana barani Afrika? Je, ni faida gani za kupata chanjo dhidi ya COVID-19? Je, chanjo za COVID-19 zinafanyaje kazi? 4 Ni kwa namna gani chanjo za COVID-19 zilitengenezwa kwa haraka namna? 4 Je, ni lini ninapaswa kupata chanjo dhidi ya COVID-19? 5…

COVID-19 na wakulima: Kukabiliana na janga huko Rwanda vijijini

Save and edit this resource as a Word document Utangulizi Rwanda ni moja ya nchi ndogo kabisa barani Afrika ikiwa na zaidi ya kilomita za mraba 26,000. Kwa kulinganisha na nnchi ya jirani yake, Tanzania, ni kubwa mara 35. Rwanda inapakana na Uganda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Tanzania. Nchi ina vilima na…

Taarifa za awali: Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu

Utangulizi: Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, wafanyabiashara, na watumiaji. Wakati, hadi sasa, minyororo ya thamani ya nafaka na kunde haijaathiriwa sana, watumiaji hawawezi kupata chakula halisi…

Majibu ya maswali yako yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Ugonjwa wa Corona (COVID-19)

Katika wiki chache zilizopita, washirika wetu wa utangazaji walitutumia maswali yao ya kushinikiza kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19). Ili kuwajibu, tuliunda maswali haya yanayoulizwa mara nyingi (FAQs), tukitumia mamlaka yenye sifa na vyanzo vya habari vilivyothibitishwa kama vile Shirika la Afya Duniani. Hapa kuna majibu ya baadhi ya maswali yako yanayoulizwa mara nyingi…

Habari za msingi kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)

Pakua habari hii : Habari za msingi Pakua habari hii : Hatua za tahadhari 1. Jinsi virusi vinavyoenea kutoka kwa mtu hadi mtu Watu hupata ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) kutoka kwa wengine ambao wana virusi hivyo. Ugonjwa huenezwa kupitia matone madogo yanayotengenezwa wakati watu walioambukizwa wanakohoa, wanapiga chafya, au wanapumua. Matone haya yanaweza…

Utangulizi katika kuthibiti magonjwa ya mifugo: Ugonjwa wa mfumo wa hewa na ugonjwa wa kuhara damu

Utangulizi:   Je ni kwanini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Ili wakulima wajue jinsi ya kujihami na ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa. Ili wakulima weweze kugundua dalili za ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa kwenye mifugo yao na kugundua mifugo iliyoathirika na magonjwa hayo. Ili…

Taarifa za kina: Kupunguza upotevu wa mahindi baada ya mavuno

  Kwa nini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wa mahindi, wafanyabiashara na wasindikaji wanapaswa kujua: Jinsi gani ya kutunza mahindi baada ya kuvuna na kuepuka upotevu na kuepuka kushambuliwa na wadudu. Vifaa sahihi vya kuvunia. Muda muafaka wa kuvuna mahindi. Namna gani ya kukausha mahindi ipasavyo kuepeuka kushambuliwa na fangasi na…

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika vizuri katika kutunza udongo. Kiasi cha ufunikaji udongo unaostahili.…