Taarifa za kinas

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usafi na usafi wa mazingira
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Utangulizi katika kuthibiti magonjwa ya mifugo: Ugonjwa wa mfumo wa hewa na ugonjwa wa kuhara damu

Utangulizi:   Je ni kwanini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Ili wakulima wajue jinsi ya kujihami na ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa. Ili wakulima weweze kugundua dalili za ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa kwenye mifugo yao na kugundua mifugo iliyoathirika na magonjwa hayo. Ili…

Taarifa za kina: Kupunguza upotevu wa mahindi baada ya mavuno

  Kwa nini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wa mahindi, wafanyabiashara na wasindikaji wanapaswa kujua: Jinsi gani ya kutunza mahindi baada ya kuvuna na kuepuka upotevu na kuepuka kushambuliwa na wadudu. Vifaa sahihi vya kuvunia. Muda muafaka wa kuvuna mahindi. Namna gani ya kukausha mahindi ipasavyo kuepeuka kushambuliwa na fangasi na…

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika vizuri katika kutunza udongo. Kiasi cha ufunikaji udongo unaostahili.…

Utangulizi wa Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’

A. Utangulizi Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’, wenye jina la kisayansi la Spodoptera frugiperda ndio wadudu wakuu zaidi wanaoathiri mazao ya chakula. Viwavi hivi hupenda kula mihindi michanga lakini pia imeripotiwa kuwa wanauwezo wa kula baadhi ya mimea mingine, ikiwemo mawele, mtama, mchele, ngano, miwa na mboga. Asili ya wadudu hawa ni nchi zilizo katika…

Mahojiano na wataalamu: Utendaji mzuri kwa waandishi wa habari na wataalamu

Pakua na hariri taarifa hii kwa matumizi yako Utangulizi   Kufanya mahojiano na wataalamu kunaongeza mengi katika kipindi chako cha kilimo. Inawapatia wasikilizaji taarifa za kuaminika. Usisahau pia baadhi ya wakulima ni Wataalamu pia. Tafadhalii elewa kwamba Muongozo huu ni kwa ajili ya waandishi na wataalamu, kwa sababu ni muhimu kwa waandishi na wataalamu kujua.…

Ufafanuzi: Ulimaji wa kina kifupi kwenye kilimo hifadhi

Je, uhifadhi wa kulima kina kifupi ni nini na kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kilimo hifadhi hujumuisha kulima kina kifupi ama kutolima kabisa. Kwa kawaida inahusisha kufanya matuta ya kupanda kwa mkono, au kutumia maksai wa ng’ombe-au trekta na majembe maalum ya kutoboa udongo yaitwayo ripa*. Maelezo juu ya njia hizi mbili…

Taarifa za awali: Kilimo Hifadhi

Utangulizi Siku hizi, wakulima wadogo wadogo wanakumbana na changamoto kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini kilimo hifadhi kimeonyesha kuwa wanaweza kupata mafanikio katika ugumu huu. Kilimo hifadhi kinatoa njia rahisi ambayo wakulima wanaweza kuitumia ili kupambana na athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi na kujifunza kulima mashamba amba kwa kuzingatia “uasilia wake”. Hii…

Utangulizi: Ufugaji wa Mbuzi

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwa sababu wakulima ambao wanataka kuongeza mbuzi wanapaswa kujua: Umri sahihi na uzito kwa ajili ya mbuzi kuanza uzalishaji na msimu bora wa upandishaji. Mbinu bora za uzalishaji. Dalili za magonjwa ya mbuzi na maambukizi. Jinsi ya kutunza mbuzi wajawazito pamoja na watoto kabla na baada ya…

Taarifa za awali: Usindikaji wa muhogo

Utangulizi Mihogo asili yake ni tropiki ya Amerika ya Kusini. Ililetwa katika bonde la Congo katikati mwa miaka ya 1500, na Afrika Mashariki miaka ya 1700. Asilimia 93 ya mihogo inayozalishwa hutumika kama chakula, hii kulifanya zao la muhogo kuwa muhimu kwa ajili ya usalama wa chakula vijijini. Zaidi ya watu milioni 500 kusini mwa…

Nakala juu ya kilimo cha maharage ya soya

Utangulizi Maharage ya Soya asili yake ni bara la Asia ya Mashariki, na yaliletwa bara la Africa mwishoni mwa miaka ya 1800, na kwa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1900. Kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya maharage ya soya katika kuimarisha lishe kwa vyakula vya binadamu. Wasindikaji wadogo na wa kati (wengiwao wakiwa ni wanawake)…