Maigizos

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Hasira za Vizuizi: Ukatili wa Kijinsia wakati wa COVID-19

Sehemu 1 MAZINGIRA: NYUMBANI KWA FORIWAA WASHIRIKI: FORIWAA, DANIEL, WATOTO (SERWAA, MTOTO, & PAAPA) SFX: MZIKI DANIEL: Mpenzi, tunahitaji kuzungumza. Punguza sauti ya redio na uje hapa. FORIWAA: Ndio, mpenzi. DANIEL: Angalia, nimekuwa nikifikiria juu ya hali yetu hapa nyumbani, na nina wasiwasi sana juu ya maisha yetu. Tangu kuibuka kwa janga hili la COVID-19,…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 4

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Nyumbani kwa Farida. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mlango unagongwa. 4. Wahusika: Farida, Jenny. 5. SFX: MLANGO UNAGONGWA KWA NGUVU. 6. FARIDA: (AKIKARIBIA MIC) Nakuja!… Nakuja! 7. SFX: FARIDA ANAFUNGUA MLANGO. 8. FARIDA: (KWA MSHANGAO) Jenny! Hujaenda gereji leo? 9. SFX: JENNY ANAINGIA NDANI. 10. JENNY: (KWA HOFU) Nini…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 3

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Kiwanda. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Kelele za honi ya lori. 4. Wahusika: Farida, Stella, Sigi, Mlinzi. 5. SFX: KELELE ZA HONI YA LORI. 6. SIGI: (ANAPIGA KELELE MBALI NA MIC) Oya fungua mlango bwana! Alaa! 7. MLINZI: (KWA HARAKA) Nakuja kiongozi! 8. SFX: MLINZI ANAFUNGUA GETI NA LORI…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 2

1. Scene 1 2. Sehemu: Ndani. Kituo cha polisi – Ofisi ya Afande Kaifa. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Afande Kaifa anakoroma. 4. Wahusika: Afande Kaifa, Mzee Kaifa, Afande Filipo. 5. SFX: AFANDE KAIFA ANAKOROMA USINGIZINI. 6. SFX: MLANGO UNAGONGWA. 7. AFANDE KAIFA: (ANASHTUKA KWA HASIRA) Nini tena? 8. AFANDE FILIPO: (ANAFUNGUA MLANGO NA KUINGIA)…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 1

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Barabarani. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Gari na mziki ndani ya gari. 4. Wahusika: Jenny, Mr. Patel, Mvulana. 5. SFX: INJINI YA GARI HUKU MZIKI UKISIKIKA NDANI YA GARI. 6. SFX: MR. PATEL ANAIMBA KUFUATISHA MZIKI. 7. SFX: GHAFLA KELELE KAMA ZA PANCHA ZINASIKIKA. 8. MR. PATEL: (ANASHTUKA) Ohoo!…

Wanawake wanajiwezesha

Madeline na Musa: Kilimo cha maharage ya Soya kwa mazao bora na kipato

Sehemu ya kwanza Eneo: Ndani: Nyumbani kwa  Bibi Anase. Mchana. Wahusika: Bibi Anase na Madelina Kwa umbali SFX: Tunasikia kelele za mlango ukigongwa. SFX:                                                   TUNASIKIA KELELE ZA MLANGO UKIGONGWA NA BIBI ANASE. BIBI ANASE:(KARIBU NA MIC, ANAPAZA SAUTI) Mende! Mende! Wewe, Mendelina! SFX:                                                   BIBI ANASE ANAITA HUKU AKIENDELEA KUGONGA MLANGO. BIBI ANASE:                                   Mende! Wewe Mende,…

Taka ndani, Taka nje: Panda vipando salama vya mihogo kuepuka ugonjwa wa Batobato shambani mwako

WAIGIZAJI: SHOMVI: Mkulima wa mihogo anayejulikana vizuri kijijini Bungu. Anasambaza unga bora wa mihogo ni Mume wa Fatuma. FATUMA: Mke wa Shomvi. JUMA: Anaishi katika kijiji cha Bungu. Moja ya shamba lake lipo karibu na shamba la mihogo la Shomvi. Mume wa Latifa. LATIFA: Mke wa Juma. MWINJUMA: Mkulima wa mihogo ambaye amebobea kulima mihogo…

Kidole kimoja hakiui chawa

WASHIRIKI HADIJA: Mwanamke wa miaka 40 na watoto wanne. Mtoto mkubwa ni wakiume mwenye umri wa miaka 15. Ni mwanamke mjane na Mkulima wa mihogo, analima Mihogo hasa hasa kujipatia chakula na kuuza kidogo kinachobaki kwaajili ya kupata kipato kidogo kwa mahitaji mengine ya familia, kipato kikubwa anajipatia kwa kufanya kazi za vibarua kijiji mwake…