Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Uzalishaji wa mazao

Matangazo ya Redio kuhusu kilimo cha ikolojia nchini Tanzania

Oktoba 26, 2022

Tangazo #1: Kutumia pembejeo za Kilimo ikolojia   MSIMULIZI: Wakulima! Ili kupata mavuno mengi na kuimarisha mazingira ya shamba lako kwa wakati mmoja, ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa pembejeo za kilimo ikolojia. Hapa kuna vidokezo vitano! Kwanza, pata taarifa zote zinazowezekana kuhusu pembejeo za kilimo unazohitaji. Pili, tafiti vyanzo vyote vinavyowezekana vya mbegu za…

Kuchagua mbegu na kuzihifadhi kwa msimu ujao kwa kuzingatia kanuni za kilimo

Oktoba 4, 2022

SFX: SAUTI YA JUU HALAFU YA CHINI MTANGAZAJI: Mabibi na mabwana, karibuni katika kipindi cha leo, ambapo tutakwenda kujifunza kuhusu kuchagua na kuhifadhi mbegu za msimu ujao kwa mbinu za kilimo. Ili kulizungumzia hili, nilimtembelea Bwana Emmanuel Kakore, mkulima anayeishi kijiji cha Kisiwani, Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa Tanzania. Emmanuel Kakore…

Taarifa za Awali: Faida za upandaji wa Mazao mbalimbali kwa njia ya mseto

Juni 3, 2022

Utangulizi   Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wadogo wanapaswa kufahamu: Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno yao. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna maelewano kati ya mahindi…

Taarifa za kina: Kupunguza upotevu wa mahindi baada ya mavuno

Novemba 4, 2018

  Kwa nini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wa mahindi, wafanyabiashara na wasindikaji wanapaswa kujua: Jinsi gani ya kutunza mahindi baada ya kuvuna na kuepuka upotevu na kuepuka kushambuliwa na wadudu. Vifaa sahihi vya kuvunia. Muda muafaka wa kuvuna mahindi. Namna gani ya kukausha mahindi ipasavyo kuepeuka kushambuliwa na fangasi na…

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Mei 5, 2018

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika vizuri katika kutunza udongo. Kiasi cha ufunikaji udongo unaostahili….

Utangulizi wa Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’

Mei 4, 2018

A. Utangulizi Viwavijeshi aina ya ‘Fall armyworm’, wenye jina la kisayansi la Spodoptera frugiperda ndio wadudu wakuu zaidi wanaoathiri mazao ya chakula. Viwavi hivi hupenda kula mihindi michanga lakini pia imeripotiwa kuwa wanauwezo wa kula baadhi ya mimea mingine, ikiwemo mawele, mtama, mchele, ngano, miwa na mboga. Asili ya wadudu hawa ni nchi zilizo katika…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 4

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Nyumbani kwa Farida. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mlango unagongwa. 4. Wahusika: Farida, Jenny. 5. SFX: MLANGO UNAGONGWA KWA NGUVU. 6. FARIDA: (AKIKARIBIA MIC) Nakuja!… Nakuja! 7. SFX: FARIDA ANAFUNGUA MLANGO. 8. FARIDA: (KWA MSHANGAO) Jenny! Hujaenda gereji leo? 9. SFX: JENNY ANAINGIA NDANI. 10. JENNY: (KWA HOFU) Nini…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 3

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Kiwanda. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Kelele za honi ya lori. 4. Wahusika: Farida, Stella, Sigi, Mlinzi. 5. SFX: KELELE ZA HONI YA LORI. 6. SIGI: (ANAPIGA KELELE MBALI NA MIC) Oya fungua mlango bwana! Alaa! 7. MLINZI: (KWA HARAKA) Nakuja kiongozi! 8. SFX: MLINZI ANAFUNGUA GETI NA LORI…

Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 2

Februari 26, 2018

1. Scene 1 2. Sehemu: Ndani. Kituo cha polisi – Ofisi ya Afande Kaifa. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Afande Kaifa anakoroma. 4. Wahusika: Afande Kaifa, Mzee Kaifa, Afande Filipo. 5. SFX: AFANDE KAIFA ANAKOROMA USINGIZINI. 6. SFX: MLANGO UNAGONGWA. 7. AFANDE KAIFA: (ANASHTUKA KWA HASIRA) Nini tena? 8. AFANDE FILIPO: (ANAFUNGUA MLANGO NA KUINGIA)…