Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Uzalishaji wa mazao

Kilimo cha aina mpya ya mpunga kwa Afrika: Kampeni Shirikishi ya redio huwasaidia wakulima kuboresha maisha yao

Desemba 1, 2012

Wahusika: Alhassan Baaba, afisa wa uenezi wa kilimo, katika manispaa ya Ho. Frank Dzameku, Mtungaji na mratibu wa vipindi vya mkulima katika redio ya Nkomo FM. Halimatu, mkulima wa kike. Efo Osei, mkulima wa kiume. Asigri, mkulima wa kike. Banka, mwanamasoko, mfanyabiashara wa mpunga. Agyyeiwaa mkulima wa kike. Akua, binti wa Asigri. MTANGAZAJI:               Habari…

Kuongeza usalama wa chakula kwa Waganda: Kampeni Shirikishi ya Redio ya Sauti yaTeso juu ya muhogo wa Akena

Desemba 1, 2012

Mtangazaji 1:            Habari zenu wasikilizaji wetu wote. Jina langu ni ___. Mtangazaji 2:           Nami naitwa ____. Leo tutakueleza juu ya kampeni ya redio iliyorushwa hewani miaka michache iliyopita na Sauti ya Teso huko mashariki mwa Uganda. Kampeni ilitambulisha kwa wakulima aina ya muhogo unaostahimili magonjwa inayoitwa Akena. Iliwapatia habari nyingi za kutosha juu ya…

Mazao yenye ubora wa hali ya juu yanainua kipato na kupunguza umaskini

Juni 20, 2012

Ingiza kiashirio cha kipindi na punguza sauti, mruhusu mtangazaji aanze kipindi Mtangazaji: Hujambo? Karibu katika kipindi cha leo kisemacho Sauti ya mkulima, kinacholetwa kwako kwa ridhaa ya Umoja wa wakulima nchini Zambia. Mimi ni mtangazaji wako, Alice Lungu Banda. Tuwe sote. Ondoa taratibu kiashirio cha kipindi Mtangazaji: Wakulima nchini Zambia wamefanikiwa kulima kilimo mchanganyiko na…

Kupanda Viazi kunaongeza kipato kwa wakulima wa Kabale, nchini Uganda

Juni 20, 2012

Musiki kiashiria kwa sekunde moja, kasha shusha sauti ya muziki polepole. Jingo za kipindi (jogoo anawika). MTANGAZAJI: Kwa mara nyingine ni muda wa “Sauti ya Mkulima.” Kama umekaa baa unasubiria kugongwa kinywaji na rafiki yako, basi hauko mahali sahihi! Kama uko tayari kumeza haraka haraka gulp… gooooo na kurudi kazini!! Leo, tutaongea na mkulima wa…

Kausha mbegu za mpunga bila kuziweka ardhini ili upate mazao yenye ubora

Juni 4, 2012

Piga kiashirio cha kipindi na kiashirikio cha kituo chako cha redio Mtangazaji:  Karibu katika kipindi chetu cha leo. Wote tunafahamu kuwa majira ya mvua yanapokuja, mavuno nayo yako njiani yanayoambatana na ukaushaji wa mbegu za mpunga. Ni vigumu kukausha kitu chochote wakati wa masika, hususan mbegu. Ndio maana kipindi chetu kimelenga katika mada ya njia…

Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo

Machi 1, 2005

Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…

Ondoa magugu kwa uangalifu shambani kwako

Septemba 1, 2004

Washiriki: Mtangazaji wakulima wawili wanawake Mtangazaji: Wakulima wengi wanaonisikiliza leo, hasa wanawake, bila shaka watafurahia mjadala wetu wa leo wa jinsi ya kudhibiti mbigili shambani. Mbigili ni magugu yanayosababisha uharibifu mkubwa kwa mazao hasa mahindi, mtama, ufuta na hata mpunga. Magugu haya yana tabia ya kunyonya maji ardhi pamoja na virutubisho vingine na kuyaacha mazao…