Taarifa za kinas
- Wote
- Afya
- Afya ya udongo
- Kilimo
- Lishe
- Masuala ya jamii
- Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
- Mifugo na ufugaji nyuki
- Miti na kilimo mseto
- Shughuli za baada ya mavuno
- Taarifa za masoko na soko
- Usafi na usafi wa mazingira
- Usawa wa kijinsia
- Uzalishaji wa mazao
Taarifa za awali: Usimamizi wa misitu kwa kushirikiana na jamii
Utangulizi Usimamizi wa misitu ya jamii huanzishwa na jamii zinazoishi karibu na misitu, na/au na serikali au washirika wa maendeleo kama sehemu ya kukabiliana na uharibifu wa misitu. Pia unaweza kuitwa usimamizi shirikishi wa misitu, usimamizi wa misitu unaotegemea jamii, au usimamizi wa pamoja wa misitu. Katika usimamizi wa misitu ya jamii, jamii ina haki…
Taarifa za awali: Bayoanuwai
Utangulizi Umewahi kufikiria kuhusu utofauti wa ajabu wa viumbe hai duniani? Kuanzia wadudu wadogo hadi tembo wenye nguvu, utofauti huu unaitwa bayoanuwai. Lakini bioanuwai siyo tu vitu vya kupendeza – ni msingi wa sayari yenye afya na ustawi wetu. Bioanuwai ni nini? Bayoanuwai, ambayo ni kifupi cha anuwai ya kibiolojia, ni utofauti wa aina zote…
Utangulizi: Suluhisho za Asili zenye Kuzingatia Jinsia
Wanawake wa vijijini wanaoshiriki katika Suluhisho za Kiasili (NbS) barani Afrika wanaweza kupata manufaa mengi, kwa ngazi ya mtu binafsi na jamii. Suluhisho za Kiasili, kama zinavyofafanuliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Asili (IUCN), zinahusisha hatua zinazolenga kulinda, usimamizi endelevu, na urejeshaji wa ikolojia asilia na ikolojia iliyobadilishwa. Njia hizi zimeundwa ili kukabiliana…
Utangulizi: Uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili
Maana ya uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili Kulingana na shirika la kimataifa la uhifadhi wa mazingira (IUCN), uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili unaweza kufafanuliwa kama “hatua za kulinda, kudhibiti kwa uendelevu na kurejesha mifumo ya asili na iliyorekebishwa kwa njia zinazoshughulikia changamoto za kijamii kwa njia ipasayo, ili kutoa faida za…
Taarifa za Awali: Faida za upandaji wa Mazao mbalimbali kwa njia ya mseto
Utangulizi Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wadogo wanapaswa kufahamu: Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno yao. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna maelewano kati ya mahindi…
Majibu kwa Maswali yako yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu chanjo za COVID-19
Jedwali la Yaliyomo Taarifa za Msingi Ni chanjo gani za COVID-19 zinapatikana barani Afrika? Je, ni faida gani za kupata chanjo dhidi ya COVID-19? Je, chanjo za COVID-19 zinafanyaje kazi? 4 Ni kwa namna gani chanjo za COVID-19 zilitengenezwa kwa haraka namna? 4 Je, ni lini ninapaswa kupata chanjo dhidi ya COVID-19? 5…
COVID-19 na wakulima: Kukabiliana na janga huko Rwanda vijijini
Save and edit this resource as a Word document Utangulizi Rwanda ni moja ya nchi ndogo kabisa barani Afrika ikiwa na zaidi ya kilomita za mraba 26,000. Kwa kulinganisha na nnchi ya jirani yake, Tanzania, ni kubwa mara 35. Rwanda inapakana na Uganda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Tanzania. Nchi ina vilima na…
Taarifa za awali: Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu
Utangulizi: Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, wafanyabiashara, na watumiaji. Wakati, hadi sasa, minyororo ya thamani ya nafaka na kunde haijaathiriwa sana, watumiaji hawawezi kupata chakula halisi…
Majibu ya maswali yako yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Ugonjwa wa Corona (COVID-19)
Katika wiki chache zilizopita, washirika wetu wa utangazaji walitutumia maswali yao ya kushinikiza kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19). Ili kuwajibu, tuliunda maswali haya yanayoulizwa mara nyingi (FAQs), tukitumia mamlaka yenye sifa na vyanzo vya habari vilivyothibitishwa kama vile Shirika la Afya Duniani. Hapa kuna majibu ya baadhi ya maswali yako yanayoulizwa mara nyingi…
Habari za msingi kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)
Pakua habari hii : Habari za msingi Pakua habari hii : Hatua za tahadhari 1. Jinsi virusi vinavyoenea kutoka kwa mtu hadi mtu Watu hupata ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) kutoka kwa wengine ambao wana virusi hivyo. Ugonjwa huenezwa kupitia matone madogo yanayotengenezwa wakati watu walioambukizwa wanakohoa, wanapiga chafya, au wanapumua. Matone haya yanaweza…