Maigizos
- Wote
- Afya
- Afya ya udongo
- Kilimo
- Lishe
- Masuala ya jamii
- Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
- Mifugo na ufugaji nyuki
- Miti na kilimo mseto
- Shughuli za baada ya mavuno
- Taarifa za masoko na soko
- Usawa wa kijinsia
- Uzalishaji wa mazao
Kilimo cha aina mpya ya mpunga kwa Afrika: Kampeni Shirikishi ya redio huwasaidia wakulima kuboresha maisha yao
Wahusika: Alhassan Baaba, afisa wa uenezi wa kilimo, katika manispaa ya Ho. Frank Dzameku, Mtungaji na mratibu wa vipindi vya mkulima katika redio ya Nkomo FM. Halimatu, mkulima wa kike. Efo Osei, mkulima wa kiume. Asigri, mkulima wa kike. Banka, mwanamasoko, mfanyabiashara wa mpunga. Agyyeiwaa mkulima wa kike. Akua, binti wa Asigri. MTANGAZAJI: Habari…
Wakulima wanaweza kuwa na mapato kutokana na mbolea
Mwenyeji: Hamjambo asubuhi ya leo wasikilizaji. Kipindi cha leo kimelengwa moja kwa moja kwa wakulima wenye mashamba madogo. Kinazungumzia manufaa ya kiuchumi kutokana na matumizi ya mbolea ya kimakaa (compost). Kipindi chetu kina misingi ya mapendekezo na tajriba ya mkulima Mkenya na shirika la kimitaa la misaada liitwalo Rural Development Agriculture Program au ARDAP. ARDAP…
Uvumbuzi wa Neddy: Mfanyakazi wa afya ya wanyama asaidia kijiji kudhibiti ugonjwa wa Kideri
MSIMULIZI: Katika nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Malawi, wakulima wengi wana angalau kuku mmoja. Kuku hawa ni mifugo ya ndani ambayo huachiliwa kula kwa uhuru. Kwa maneno mengine, ni kuku wanaojilisha. Kuongezeka kwa ugonjwa wa Kideri kunaweza kuua kuku wote wa kijiji. Kideri inaweza kuzuiwa na chanjo. Kwa nini wakulima wengi hawanunui…
Zuia malaria wakati wa ujauzito!
Fifiisha sauti za nyumbani … sufuria, maji yakimiminika, na kukifagiliwa Bi. Chawila: Nancy, unaweza kuja kunisaidia kumaliza kusafisha madirisha tafadhali? Karibu nimalize. Lililobakia ni moja tu hili ya jikoni. Nancy: Shangazi, naomba nimalize kusafisha vyombo vya jikoni – naja sasa hivi. Bi. Chawila: EEEEEEhhhhyeeeee! Na Na Nanc …! Nancy: (Akipiga mayowe kwa hofu) Shangazi! Shangazi!…
Boresha samadi ili upate mbolea nzuri
Wahusika Philip: Mtangazaji kutoka redio ya mjini Dokta. Compost, Shahada ya Uzamivu. (Peter Composter): Mtaalamu wa kilimo mwenye umri takribani wa miaka 70, ana tabia ya kushau sahau. Ana uzoefu wa mambo ya shambani na elimu ya chuo kikuu. Shida yake ni kwamba, wakati mwingine unapozungumza naye anachanganya mada. Hata hivyo taarifa anazotoa mara nyingi…
Maji ni uhai. Yagawe.
Wahusika German: Mtu mwenye busara na moyo safi katika kijiji Mkuu wa Kijiji: Mwenye busara lakini menye unyonge mara kwa mara. Eda: Mwanamke mzee, mjane, anawalea mayatima walioachwa na mwanawe wa kiume aliyefariki aliyefariki njaa. Bimphi: Mlevi wa kawaida. Mwenye bidii, lakini anayetumia pesa zake nyingi kulewa pombe. James: Mpwa wa Mkuu wa Kijiji, mgumu wa…
Ondoa magugu kwa uangalifu shambani kwako
Washiriki: Mtangazaji wakulima wawili wanawake Mtangazaji: Wakulima wengi wanaonisikiliza leo, hasa wanawake, bila shaka watafurahia mjadala wetu wa leo wa jinsi ya kudhibiti mbigili shambani. Mbigili ni magugu yanayosababisha uharibifu mkubwa kwa mazao hasa mahindi, mtama, ufuta na hata mpunga. Magugu haya yana tabia ya kunyonya maji ardhi pamoja na virutubisho vingine na kuyaacha mazao…