Mahojianos

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usafi na usafi wa mazingira
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Wanasayansi wanaboresha vichanja vya asili vya mahindi

George Atkins, mkulima kwa miaka mingi, amesafiri duniani kwa Massey-Ferguson, Chuo cha Guelph na Shirika la maendeleo la kimataifa la Kanada, akitafuta namna ya kuwasaidia wakulima kuongeza mavuno yao. Barani Afrika, alikutana na mwanasayansi aliyekuwa akifanya utafiti jinsi ya kubadilisha vichanja vya kienyeji vya mahindi ili mahindi yakauke haraka Zaidi, vizuri, hasahasa katika maeneo yenye…

Mapishi bora ya Mihogo yaboresha Afya ya Familia

MTANGAZAJI: Ni muda wetu tena wakulima wa kusambaa taarifa za mbinu bora za kilimo na kuboresha maisha yetu. Jina langu ni Filius Chalo Jere na leo ninawaletea mada ya kusisimua inayozungumzia jinsi ambavyo zao la mihogo inaweza kuwa zao la muhimu la chakula katika familia yako. Naelewa kuwa sisi Wangoni tunaoishi mashariki mwa Zambia hatupendelei…

Ni muhimu kuuza kwa pamoja: Faida za soko la pamoja

KIASHIRIA KINASIKIKA NA KUPOTEA MTANGAZAJI: Habari, na karibu katika kipindi hiki maalum kuhusiana na zao la muhogo. Je wajua? Kipindi cha hivi karibuni muhogo umekua chakula cha kawaida sana mitaani? Yeyote anaweza kununua kipande cha mjhogo mbichi au uliokaangwa kwa kiwango kidogo cha kama shilingi mia za kitanzania, unaweza kuipata kandokando ya barabara au katika…

Mboga za majani za asili za kiafrika kutumiwa tena mezani.

SFX Melodi inapanda kisha inashuka MTANGAZAJI:              Jaribu kukisia. Zina virutubisho, Zinakua vizuri katika mazingira yenye ukame, zinaweza kuwa chanzo cha kipato, na zinatunza mazingira … kama ukisema mboga za majani za asili za kiafrika, uko sahihi na ndicho tunaenda kujifunza leo. SFXSauti ya melodi inapanda na kushuka MTANGAZAJI:               Habari na karibuni katika Farmer to…

Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake

MTANGAZAJI:               Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniaré, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Mke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia…

Jinsi wakulima wa mtama kaskazini mwa Ghana wanavyolima kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa

Mtangazaji:               Ndugu wasikilizaji, karibuni katika kipindi cha Dunia hamisim, ikiwa na maana ya “hali ya hewa ya dunia inabadilika.” Unaweza kuita mabadiliko ya hali ya hewa duniani au ongezeko la joto duniani, hili ni jambo lenye uzito mkubwa sana kwa wakulima wa kaskazini mwa Ghana. Hii ni kweli hasa kwa makazi ya shambani na…

Kuongeza usalama wa chakula kwa Waganda: Kampeni Shirikishi ya Redio ya Sauti yaTeso juu ya muhogo wa Akena

Mtangazaji 1:            Habari zenu wasikilizaji wetu wote. Jina langu ni ___. Mtangazaji 2:           Nami naitwa ____. Leo tutakueleza juu ya kampeni ya redio iliyorushwa hewani miaka michache iliyopita na Sauti ya Teso huko mashariki mwa Uganda. Kampeni ilitambulisha kwa wakulima aina ya muhogo unaostahimili magonjwa inayoitwa Akena. Iliwapatia habari nyingi za kutosha juu ya…

Tetea usawa wa jinsia na uwawezeshe wanawake

Wimbo wa kutambulisha kwa sekundi kumi halafu uondoe taratibu Mwenyeji: Karibu mpendwa msikilizaji, katika kipindi cha leo ambacho kinahusu wanawake na haki za mali.  Hili sio suala la kitaifa tu bali pia ni jambo linalohusu dunia nzima.  Mitamboni ni mwenyeji wako Rachel Adipo akikufikia kutoka Ugunja FM.  Hapa katika studio nina mgeni wetu wa leo,…

Mazao yenye ubora wa hali ya juu yanainua kipato na kupunguza umaskini

Ingiza kiashirio cha kipindi na punguza sauti, mruhusu mtangazaji aanze kipindi Mtangazaji: Hujambo? Karibu katika kipindi cha leo kisemacho Sauti ya mkulima, kinacholetwa kwako kwa ridhaa ya Umoja wa wakulima nchini Zambia. Mimi ni mtangazaji wako, Alice Lungu Banda. Tuwe sote. Ondoa taratibu kiashirio cha kipindi Mtangazaji: Wakulima nchini Zambia wamefanikiwa kulima kilimo mchanganyiko na…

Kupanda Viazi kunaongeza kipato kwa wakulima wa Kabale, nchini Uganda

Musiki kiashiria kwa sekunde moja, kasha shusha sauti ya muziki polepole. Jingo za kipindi (jogoo anawika). MTANGAZAJI: Kwa mara nyingine ni muda wa “Sauti ya Mkulima.” Kama umekaa baa unasubiria kugongwa kinywaji na rafiki yako, basi hauko mahali sahihi! Kama uko tayari kumeza haraka haraka gulp… gooooo na kurudi kazini!! Leo, tutaongea na mkulima wa…