Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Usawa wa kijinsia
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu kazi za matunzo bila malipo
Nini maana ya kazi za utunzaji bila malipo, na kwanini ni muhimu? Kazi za utunzaji bila malipo inajumuisha usaidizi na huduma ambazo watu binafsi hutoa bila fidia ya kifedha. Hizi ni pamoja na, kwa mfano, utunzaji, kazi za nyumbani, msaada wa kihisia, na kukata kuni na kuchota maji. Kimsingi inahusisha kazi zinazowanufaisha wanafamilia, lakini inahusu…
Matangazo ya Redio kuhusu kazi za utunzaji bila Malipo
Tangazo #1: Kuthamini kazi ya utunzaji isiyolipwa ya wanawake MSIMULIZI: Wanaume! Hatimaye ni Ijumaa, na mwisho wa wiki nyingine ndefu ya kazi! Umefanya kazi kwa bidii! Lakini unajua ni kitu gani muhimu kama kazi yako? Kazi ambayo mwenza wako hufanya nyumbani. Baada ya siku ndefu, ngumu katika kazi, ni vizuri kurudi nyumbani kwenye kaya…
Hasira za Vizuizi: Ukatili wa Kijinsia wakati wa COVID-19
Sehemu 1 MAZINGIRA: NYUMBANI KWA FORIWAA WASHIRIKI: FORIWAA, DANIEL, WATOTO (SERWAA, MTOTO, & PAAPA) SFX: MZIKI DANIEL: Mpenzi, tunahitaji kuzungumza. Punguza sauti ya redio na uje hapa. FORIWAA: Ndio, mpenzi. DANIEL: Angalia, nimekuwa nikifikiria juu ya hali yetu hapa nyumbani, na nina wasiwasi sana juu ya maisha yetu. Tangu kuibuka kwa janga hili la COVID-19,…
Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 5
1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Gala la Sigi. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mazingira ya gala. 4. Wahusika: Sigi, Afande Kaifa, Afande Filipo, Mkulima. 5. SIGI: Nakuhakikishia hautapata dili nzuri kama hii! 6. MKULIMA: Acha hizo Sigi! Hiyo hela ndogo sana kwa magunia yote haya! 7. SIGI: Hiyo ndio ofa yangu ya mwisho! Kwa…
Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 4
1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Nyumbani kwa Farida. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Mlango unagongwa. 4. Wahusika: Farida, Jenny. 5. SFX: MLANGO UNAGONGWA KWA NGUVU. 6. FARIDA: (AKIKARIBIA MIC) Nakuja!… Nakuja! 7. SFX: FARIDA ANAFUNGUA MLANGO. 8. FARIDA: (KWA MSHANGAO) Jenny! Hujaenda gereji leo? 9. SFX: JENNY ANAINGIA NDANI. 10. JENNY: (KWA HOFU) Nini…
Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 3
1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Kiwanda. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Kelele za honi ya lori. 4. Wahusika: Farida, Stella, Sigi, Mlinzi. 5. SFX: KELELE ZA HONI YA LORI. 6. SIGI: (ANAPIGA KELELE MBALI NA MIC) Oya fungua mlango bwana! Alaa! 7. MLINZI: (KWA HARAKA) Nakuja kiongozi! 8. SFX: MLINZI ANAFUNGUA GETI NA LORI…
Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 2
1. Scene 1 2. Sehemu: Ndani. Kituo cha polisi – Ofisi ya Afande Kaifa. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Afande Kaifa anakoroma. 4. Wahusika: Afande Kaifa, Mzee Kaifa, Afande Filipo. 5. SFX: AFANDE KAIFA ANAKOROMA USINGIZINI. 6. SFX: MLANGO UNAGONGWA. 7. AFANDE KAIFA: (ANASHTUKA KWA HASIRA) Nini tena? 8. AFANDE FILIPO: (ANAFUNGUA MLANGO NA KUINGIA)…
Wanawake wanajiwezesha: Mchezo kuhusu wanawake kulima na kuuuza maharage — Part 1
1. Scene 1 2. Sehemu: Nje. Barabarani. Asubuhi. 3. Utambulisho wa kipengele: Gari na mziki ndani ya gari. 4. Wahusika: Jenny, Mr. Patel, Mvulana. 5. SFX: INJINI YA GARI HUKU MZIKI UKISIKIKA NDANI YA GARI. 6. SFX: MR. PATEL ANAIMBA KUFUATISHA MZIKI. 7. SFX: GHAFLA KELELE KAMA ZA PANCHA ZINASIKIKA. 8. MR. PATEL: (ANASHTUKA) Ohoo!…