Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Shughuli za baada ya mavuno
Mkulima mbunifu anatumia magunzi ya mahindi yaliyosagwa kuhifadhi mahindi
Waigizaji Mwenyeji Mr. Bio Doko, mkulima Mpangilio: Gbégourou, mojawapo ya vijiji vya soko la Parakou, katika jiji kubwa nchini Benin. Kiashiria cha kufungua na kutambulisha kipindi, halafu unashusha sauti chini MWENYEJI: Halo, mpendwa msikilizaji! Karibu katika kipindi chako. Mazungumzo ya leo yatahusu njia ya kukinga mahindi yako na wadudu wakati wa kuhifadhi. Wakulima huhifadhi mahindi…
Maranda ya mbao yaongeza maisha ya ghala kwa viazi batata
Wimbo wa Kitambulisho: Uendelee kwa hadi nukta tano kisha ufifie chini ya sauti ya mtangazaji. Mtangazaji: Viazi batata ni zao la chakula muhimu nchini Kenya. Huwa vinakuzwa katika nyanda za juu za mikoa ya Kati, Bonde la Ufa na Magharibi. Hata hivyo, usalishaji na uuzaji wa viazi hutatizwa na hali duni ya uhifadhi ambayo hupunguza…
Epuka hasara baada ya mavuno, kwa kutunza mazao yako vizuri: Kidokezo cha nane cha redio
Kidokezo #1: Kuvuna maembe kwa uangalifu (Zingatia: Chagua tunda linalofaa katika eneo lako.) Mazao yanapojeruhiwa wakati wa kuvuna au mara baada ya mavuno, yanaharibika kwa haraka. Unaweza kushindwa kuuza mazao yaliyoharibika au kujeruhiwa na wakati mwingine ukalazimika kuyauza kwa bei ndogo. Kwa upande mwingine, kama utafanikiwa kupunguza hasara, unaweza pia kuongeza kipato chako. Ifuatayo ni…
- « Previous
- 1
- 2