Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Shughuli za baada ya mavuno

Kuchagua mbegu na kuzihifadhi kwa msimu ujao kwa kuzingatia kanuni za kilimo

Oktoba 4, 2022

SFX: SAUTI YA JUU HALAFU YA CHINI MTANGAZAJI: Mabibi na mabwana, karibuni katika kipindi cha leo, ambapo tutakwenda kujifunza kuhusu kuchagua na kuhifadhi mbegu za msimu ujao kwa mbinu za kilimo. Ili kulizungumzia hili, nilimtembelea Bwana Emmanuel Kakore, mkulima anayeishi kijiji cha Kisiwani, Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa Tanzania. Emmanuel Kakore…

Athari za COVID-19 juu ya upatikanaji wa mboga zilizotolewa shambani na jinsi wakulima na wengine wanavyokabiliana na athari hizi

Oktoba 22, 2020

SFX: SIMU INAITA KAMBOLE: Halo, mimi ni Kambole Kanyanta katika Ofisi ya Kilimo ya Wilaya. Naweza kujua ni nani anayepiga simu? FILIUS: Jina langu ni Filius Chalo Jere, mtayarishaji wa kipindi cha redio cha Kilimo ni Biashara kutoka Breeze FM. Naweza kufanya mahojiano na wewe kwa njia ya simu? KAMBOLE: Vipi kuhusu? FILIUS: Kuhusu athari…

Taarifa za awali: Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu

Agosti 7, 2020

Utangulizi: Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, wafanyabiashara, na watumiaji. Wakati, hadi sasa, minyororo ya thamani ya nafaka na kunde haijaathiriwa sana, watumiaji hawawezi kupata chakula halisi…

Taarifa za kina: Kupunguza upotevu wa mahindi baada ya mavuno

Novemba 4, 2018

  Kwa nini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Kwasababu wakulima wa mahindi, wafanyabiashara na wasindikaji wanapaswa kujua: Jinsi gani ya kutunza mahindi baada ya kuvuna na kuepuka upotevu na kuepuka kushambuliwa na wadudu. Vifaa sahihi vya kuvunia. Muda muafaka wa kuvuna mahindi. Namna gani ya kukausha mahindi ipasavyo kuepeuka kushambuliwa na fangasi na…

Taarifa za awali: Usindikaji wa muhogo

Mei 25, 2017

Utangulizi Mihogo asili yake ni tropiki ya Amerika ya Kusini. Ililetwa katika bonde la Congo katikati mwa miaka ya 1500, na Afrika Mashariki miaka ya 1700. Asilimia 93 ya mihogo inayozalishwa hutumika kama chakula, hii kulifanya zao la muhogo kuwa muhimu kwa ajili ya usalama wa chakula vijijini. Zaidi ya watu milioni 500 kusini mwa…

Wanasayansi wanaboresha vichanja vya asili vya mahindi

Januari 27, 2015

George Atkins, mkulima kwa miaka mingi, amesafiri duniani kwa Massey-Ferguson, Chuo cha Guelph na Shirika la maendeleo la kimataifa la Kanada, akitafuta namna ya kuwasaidia wakulima kuongeza mavuno yao. Barani Afrika, alikutana na mwanasayansi aliyekuwa akifanya utafiti jinsi ya kubadilisha vichanja vya kienyeji vya mahindi ili mahindi yakauke haraka Zaidi, vizuri, hasahasa katika maeneo yenye…

Ni muhimu kuuza kwa pamoja: Faida za soko la pamoja

Septemba 23, 2014

KIASHIRIA KINASIKIKA NA KUPOTEA MTANGAZAJI: Habari, na karibu katika kipindi hiki maalum kuhusiana na zao la muhogo. Je wajua? Kipindi cha hivi karibuni muhogo umekua chakula cha kawaida sana mitaani? Yeyote anaweza kununua kipande cha mjhogo mbichi au uliokaangwa kwa kiwango kidogo cha kama shilingi mia za kitanzania, unaweza kuipata kandokando ya barabara au katika…

Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake

Desemba 1, 2012

MTANGAZAJI:               Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniaré, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Mke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia…

Mazao yenye ubora wa hali ya juu yanainua kipato na kupunguza umaskini

Juni 20, 2012

Ingiza kiashirio cha kipindi na punguza sauti, mruhusu mtangazaji aanze kipindi Mtangazaji: Hujambo? Karibu katika kipindi cha leo kisemacho Sauti ya mkulima, kinacholetwa kwako kwa ridhaa ya Umoja wa wakulima nchini Zambia. Mimi ni mtangazaji wako, Alice Lungu Banda. Tuwe sote. Ondoa taratibu kiashirio cha kipindi Mtangazaji: Wakulima nchini Zambia wamefanikiwa kulima kilimo mchanganyiko na…

Kausha mbegu za mpunga bila kuziweka ardhini ili upate mazao yenye ubora

Juni 4, 2012

Piga kiashirio cha kipindi na kiashirikio cha kituo chako cha redio Mtangazaji:  Karibu katika kipindi chetu cha leo. Wote tunafahamu kuwa majira ya mvua yanapokuja, mavuno nayo yako njiani yanayoambatana na ukaushaji wa mbegu za mpunga. Ni vigumu kukausha kitu chochote wakati wa masika, hususan mbegu. Ndio maana kipindi chetu kimelenga katika mada ya njia…