Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
Taarifa za awali: Usimamizi wa misitu kwa kushirikiana na jamii
Utangulizi Usimamizi wa misitu ya jamii huanzishwa na jamii zinazoishi karibu na misitu, na/au na serikali au washirika wa maendeleo kama sehemu ya kukabiliana na uharibifu wa misitu. Pia unaweza kuitwa usimamizi shirikishi wa misitu, usimamizi wa misitu unaotegemea jamii, au usimamizi wa pamoja wa misitu. Katika usimamizi wa misitu ya jamii, jamii ina haki…
Taarifa za awali: Bayoanuwai
Utangulizi Umewahi kufikiria kuhusu utofauti wa ajabu wa viumbe hai duniani? Kuanzia wadudu wadogo hadi tembo wenye nguvu, utofauti huu unaitwa bayoanuwai. Lakini bioanuwai siyo tu vitu vya kupendeza – ni msingi wa sayari yenye afya na ustawi wetu. Bioanuwai ni nini? Bayoanuwai, ambayo ni kifupi cha anuwai ya kibiolojia, ni utofauti wa aina zote…
Utangulizi: Suluhisho za Asili zenye Kuzingatia Jinsia
Wanawake wa vijijini wanaoshiriki katika Suluhisho za Kiasili (NbS) barani Afrika wanaweza kupata manufaa mengi, kwa ngazi ya mtu binafsi na jamii. Suluhisho za Kiasili, kama zinavyofafanuliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Asili (IUCN), zinahusisha hatua zinazolenga kulinda, usimamizi endelevu, na urejeshaji wa ikolojia asilia na ikolojia iliyobadilishwa. Njia hizi zimeundwa ili kukabiliana…
Ufugaji wa nyuki unawanufaisha wakulima huku ukihifadhi mazingira
SAUTI YA UTAMBULISHO Ipandishwe juu KISHA ISHUshe TARATIBU MTANGAZAJI: Habari, wasikilizaji wapendwa. Karibu kwenye programu yako. Jina langu ni Solange Bicaba. Leo, tutazungumzia kuhusu kazi ya ufugaji nyuki na manufaa yake kwa watu na mazingira huko Yabasso, kijiji kilichoko katika mkoa wa Hauts-Bassins magharibi mwa nchi ya Burkina Faso. Katika kijiji hiki, takriban watu thelathini…
Matangazo ya Redio kuhusu kilimo cha ikolojia nchini Tanzania
Tangazo #1: Kutumia pembejeo za Kilimo ikolojia MSIMULIZI: Wakulima! Ili kupata mavuno mengi na kuimarisha mazingira ya shamba lako kwa wakati mmoja, ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa pembejeo za kilimo ikolojia. Hapa kuna vidokezo vitano! Kwanza, pata taarifa zote zinazowezekana kuhusu pembejeo za kilimo unazohitaji. Pili, tafiti vyanzo vyote vinavyowezekana vya mbegu za…
Njia ya kupumnzisha Mashamba iliyoboreshwa kwa wakulima wa Afrika
Kuna tofauti gani kati ya njia ya asili ya kupumnzisha shamba na njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba? Njia ya asili ya kupunzisha shamba ni kupumnzisha tu shamba kwa kutokulilima. Kawaida huachwa kwa mimea asilia kumea kwa muda mrefu ili kurejesha rutuba ya udongo. Njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba pia ni kupumnzisha shamba kwa shughuli za…
Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo
Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…