Matangazo ya redios
- Wote
- Afya
- Afya ya udongo
- Kilimo
- Lishe
- Masuala ya jamii
- Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
- Mifugo na ufugaji nyuki
- Miti na kilimo mseto
- Shughuli za baada ya mavuno
- Taarifa za masoko na soko
- Usafi na usafi wa mazingira
- Usawa wa kijinsia
- Uzalishaji wa mazao
Matangazo ya Redio kuhusu kazi za utunzaji bila Malipo
Tangazo #1: Kuthamini kazi ya utunzaji isiyolipwa ya wanawake MSIMULIZI: Wanaume! Hatimaye ni Ijumaa, na mwisho wa wiki nyingine ndefu ya kazi! Umefanya kazi kwa bidii! Lakini unajua ni kitu gani muhimu kama kazi yako? Kazi ambayo mwenza wako hufanya nyumbani. Baada ya siku ndefu, ngumu katika kazi, ni vizuri kurudi nyumbani kwenye kaya…
Matangazo ya Redio kuhusu kilimo cha ikolojia nchini Tanzania
Tangazo #1: Kutumia pembejeo za Kilimo ikolojia MSIMULIZI: Wakulima! Ili kupata mavuno mengi na kuimarisha mazingira ya shamba lako kwa wakati mmoja, ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa pembejeo za kilimo ikolojia. Hapa kuna vidokezo vitano! Kwanza, pata taarifa zote zinazowezekana kuhusu pembejeo za kilimo unazohitaji. Pili, tafiti vyanzo vyote vinavyowezekana vya mbegu za…
Matangazo kuhusu chanjo za COVID-19, uhimizaji wa chanjo, hatua za afya ya umma na usawa wa kijinsia na ushirikishwaji
Tangazo 1: Vaa barakoa na uvae ipasavyo MSIMULIZI: Janga la COVID-19 limekuwa la kuchosha-na bado halijaisha. Lakini usikate tamaa! Tunahitaji kuendelea kuwa imara kwa kila mmoja wetu, na kulinda marafiki zetu, familia na jamii. Kwa hivyo hata kama umechanjwa kikamilifu, endelea kuvaa barakoa inayofunika pua na mdomo wako. Ili barakoa ikulinde, lazima ikae vizuri…
Matangazo ya Redio kuhusu COVID-19 – sehemu ya pili
Tangazo 1: SFX: (MILIO YA NDEGE, CHAKARISHA MAJANI MAKAVU) MKULIMA 1: (AKIWA NA WASIWASI) Mavuno ya mahindi ya mwaka huu yatakuwa makubwa. Tutasimamia vipi? MKULIMA 2: Tutahitaji kuajiri wafanyikazi wengine wa ziada. MKULIMA 1: Uko sawa. Lakini tukiwa na watu wengi, nina wasiwasi juu ya kueneza virusi vya corona. MKULIMA 2: Ni kweli – virusi…
Matangazo ya redio kuhusu COVID-19 – Sehemu ya kwanza
Tangazo 1 SFX: MAKELELE YA KUKU MSIMULIAJI: Kwenu wakulima! Kuna uvumi wa uwongo unaozunguka kwamba kuku na wanyama wengine wanaweza kuambukiza wanadamu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19). Hii sio kweli! Hakuna ushahidi wowote kwamba mnyama wa aina yoyote anaweza kuambukiza binadamu ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19). Maambukizi ya binadamu husababishwa na mgusano kati…
Epuka hasara baada ya mavuno, kwa kutunza mazao yako vizuri: Kidokezo cha nane cha redio
Kidokezo #1: Kuvuna maembe kwa uangalifu (Zingatia: Chagua tunda linalofaa katika eneo lako.) Mazao yanapojeruhiwa wakati wa kuvuna au mara baada ya mavuno, yanaharibika kwa haraka. Unaweza kushindwa kuuza mazao yaliyoharibika au kujeruhiwa na wakati mwingine ukalazimika kuyauza kwa bei ndogo. Kwa upande mwingine, kama utafanikiwa kupunguza hasara, unaweza pia kuongeza kipato chako. Ifuatayo ni…