Mahojianos

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usafi na usafi wa mazingira
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Wakulima kutumia gesi vunde (biogas) kulinda mazingira, kupunguza uzito wa kazi za nyumbani

MELODI YA UTANGULIZI, KISHA INAFIFIA TARATIBU   MTANGAZAJI:                              Habari, msikilizaji mpendwa! Karibu kwenye kipinid cha leo, ambapo tunazungumzia faida za teknolojia ya gesi vunde kwa wakulima na mazingira. Pia tutazungumzia jinsi wakulima wanaweza kumudu gharama kubwa za miundombinu ya gesi vunde. Kipindi cha leo kinaangazia Mji wa Rwenjojo katika Wilaya ya Karagwe, kaskazini-magharibi mwa Tanzania.…

Ufugaji wa nyuki unawanufaisha wakulima huku ukihifadhi mazingira

SAUTI YA UTAMBULISHO Ipandishwe juu KISHA ISHUshe TARATIBU MTANGAZAJI:                               Habari, wasikilizaji wapendwa. Karibu kwenye programu yako. Jina langu ni Solange Bicaba. Leo, tutazungumzia kuhusu kazi ya ufugaji nyuki na manufaa yake kwa watu na mazingira huko Yabasso, kijiji kilichoko katika mkoa wa Hauts-Bassins magharibi mwa nchi ya Burkina Faso. Katika kijiji hiki, takriban watu thelathini…

Kuandaa chakula cha kuku wa kienyeji kwa mbinu za kilimo-ikolojia

MTANGAZAJI:        Habari msikilizaji, na karibu kwenye kipindi cha leo. Ingawa muundo wa kijenetiki wa kuku wa kienyeji ni moja ya sababu zinazoathiri ubora wa nyama na mayai yao, sababu nyingine muhimu ni aina ya chakula wanachokula. Hii ni miongoni mwa mambo yanayowatofautisha kuku wa kienyeji na aina nyingine za kuku, ikiwemo kuku…

Kuchagua mbegu na kuzihifadhi kwa msimu ujao kwa kuzingatia kanuni za kilimo

SFX: SAUTI YA JUU HALAFU YA CHINI MTANGAZAJI: Mabibi na mabwana, karibuni katika kipindi cha leo, ambapo tutakwenda kujifunza kuhusu kuchagua na kuhifadhi mbegu za msimu ujao kwa mbinu za kilimo. Ili kulizungumzia hili, nilimtembelea Bwana Emmanuel Kakore, mkulima anayeishi kijiji cha Kisiwani, Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa Tanzania. Emmanuel Kakore…

Kutatua changamoto za mmomonyoko na uharibifu wa udongo huko Karatu, Tanzania

MTANGAZAJI: Habari za asubuhi, wasikilizaji. Katika programu ya leo, tutajadili jinsi mmomonyoko na uharibifu wa udongo umeharibu ardhi ya kilimo na kuathiri uzalishaji wa kilimo kwa wakulima wadogo katika wilaya ya Karatu nchini Tanzania. Wilaya ya Karatu iko katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania. Pia tutajadili hatua zilizochukuliwa ili kukabiliana na matatizo hayo na…

Athari za COVID-19 juu ya upatikanaji wa mboga zilizotolewa shambani na jinsi wakulima na wengine wanavyokabiliana na athari hizi

SFX: SIMU INAITA KAMBOLE: Halo, mimi ni Kambole Kanyanta katika Ofisi ya Kilimo ya Wilaya. Naweza kujua ni nani anayepiga simu? FILIUS: Jina langu ni Filius Chalo Jere, mtayarishaji wa kipindi cha redio cha Kilimo ni Biashara kutoka Breeze FM. Naweza kufanya mahojiano na wewe kwa njia ya simu? KAMBOLE: Vipi kuhusu? FILIUS: Kuhusu athari…

Wakulima hutumia njia za asili na viatilifu katika kuthibiti wadudu wa mahindi magharibi mwa Tanzania

MTANGAZAJI: Karibu katika kipindi chako cha leo cha wakulima. Leo, tutakua tukizungumza na wakulima kutoka katika wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera Magharibi mwa Tanzania. Tutazungumza na wakulima wa mahindi kuhusiana na wadudu wanaoharibu ama kushambulia mahindi yao na hatua mbali mbali ambazo walizichukua katika kukabiliana na wadudu hao. (KIMYA) Ni takribani kilomita 30 kutoka…

Wanawake wakulima watumia mbinu za asili kupambana na wadudu na magonjwa ya maharagwe

PANDISHA MUZIKI WA UTANGULIZI KISHA PUNGUZA USIKIKE CHINI YA MANENO BW. ENOS: Mabibi na Mabwana, karibu katika kipindi chetu cha leo ambapo tutajifunza jinsi wakulima wanawake katika Mkoa wa Kigoma Magharibi mwa nchi ya Tanzania wanavyopambana na matatizo ya wadudu na magonjwa katika maharagwe kwa kutumia mbinu za asili. Ili kuzungumza juu ya hilo, niliwatembelea…

Kudhibiti magonjwa na wadudu wa maharage

MTANGAZAJI: Salaam, wasikilizaji na karibu katika kipindi. Jina langu ni ____. Leo tutazungumzia kuhusu kuthibiti wadudu na magonjwa yanayoshambulia maharage. Hakuna shaka kwamba maharage ni moja ya chakula kikuu Tanzania. Maeneo yanayolimwa maharage na mahindi ni kama asilimia 11 ya ardhi yote inayolimwa. Baadhi ya familia hula maharage kama chakula cha mchana ama cha usiku…

Wakulima nchini Kenya wahamia kilimo cha Maharage kutoka kilimo cha Ngano: Aina Mpya ya maharage inamavuno mazuri

  SAUTI KIASHIRIA IKIPIGWA KWA SUTI YA CHINI MTANGAZAJI: Habari Karibu katika Kipindi cha kutoka kwa mkulima kwa mkulima. Katika kipindi chetu leo, tunaongelea juu ya zao kuu barani Afrika—maharage. Tunakuwa tukisikia sauti ya Dkt. Davis Karanja, mratibu wa mradi wa mazo ya jamii ya mikunde kutoka serikali ya Kenya kitengo cha Kilimo na Mifugo.…