Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Afya

Maelezo mahususi: Batobato ugonjwa wa mihogo

Aprili 13, 2017

Kwanini mada hii ni ya muhimu kwa wasikilizaji? Batobato (CMVD) ni ugonjwa mkali na uliosambaa zaidi katika nchi za Africa kusini mwa Jagwa la Sahara. Mihogo iliyoathiriwa na Batobato inazalisha mihogo kidogo au haizai kabisa kulingana na ukithiri wa ugonjwa na umri wa mmea kipindi ugonjwa umeshambulia. CMVD inapelekea upotevu wa mazao kufikia asilimia 90…

Mapishi bora ya Mihogo yaboresha Afya ya Familia

Januari 27, 2015

MTANGAZAJI: Ni muda wetu tena wakulima wa kusambaa taarifa za mbinu bora za kilimo na kuboresha maisha yetu. Jina langu ni Filius Chalo Jere na leo ninawaletea mada ya kusisimua inayozungumzia jinsi ambavyo zao la mihogo inaweza kuwa zao la muhimu la chakula katika familia yako. Naelewa kuwa sisi Wangoni tunaoishi mashariki mwa Zambia hatupendelei…

Mboga za majani za asili za kiafrika kutumiwa tena mezani.

Desemba 1, 2012

SFX Melodi inapanda kisha inashuka MTANGAZAJI:              Jaribu kukisia. Zina virutubisho, Zinakua vizuri katika mazingira yenye ukame, zinaweza kuwa chanzo cha kipato, na zinatunza mazingira … kama ukisema mboga za majani za asili za kiafrika, uko sahihi na ndicho tunaenda kujifunza leo. SFXSauti ya melodi inapanda na kushuka MTANGAZAJI:               Habari na karibuni katika Farmer to…

Njia ya kupumnzisha Mashamba iliyoboreshwa kwa wakulima wa Afrika

Oktoba 1, 2005

Kuna tofauti gani kati ya njia ya asili ya kupumnzisha shamba na njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba? Njia ya asili ya kupunzisha shamba ni kupumnzisha tu shamba kwa kutokulilima. Kawaida huachwa kwa mimea asilia kumea kwa muda mrefu ili kurejesha rutuba ya udongo. Njia iliyoboreshwa ya kupumnzisha shamba pia ni kupumnzisha shamba kwa shughuli za…

Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo

Machi 1, 2005

Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…