Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Afya ya udongo

Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi

Mei 5, 2018

Save and edit this resource as a Word document. Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji?   Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika…

Ufafanuzi: Ulimaji wa kina kifupi kwenye kilimo hifadhi

Mei 30, 2017

Pakua na hariri taarifa hii kwa matumizi yako. Je, uhifadhi wa kulima kina kifupi ni nini na kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kilimo hifadhi hujumuisha kulima kina kifupi ama kutolima kabisa. Kwa kawaida inahusisha kufanya matuta ya kupanda kwa mkono, au kutumia maksai wa ng’ombe-au trekta na majembe maalum ya kutoboa udongo…

Nakala juu ya Rutuba ya udongo

Februari 9, 2017

Save and edit this resource as a Word document. Utangulizi Rutuba ya ugongo imefafanuliawa kama “uwezo wa udongo kusambaza idadi ya kutosha ya virutubisho muhimu na maji yanayohitajika kwa ajili ya ukuaji wa mimea maalum ikiongozwa na vigezo vya kemikali, maumbile, kibaiologia kwenye udongo.” Kilimo ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa idadi kubwa…