Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Afya ya udongo
Utangulizi: Utumiaji wa mazao funika kwenye kilimo hifadhi
Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwa sababu wakulima wenye nia ya kutunza udongo wanatakiwa kujua mambo yafuatayo: Ni kwa namna gani udongo uliohifadhiwa unachangia katika ubora wa ardhi. Mbinu mbali mbali za kutunza udongo. Aina ya mazao na mabaki ya mazao yanavotumika vizuri katika kutunza udongo. Kiasi cha ufunikaji udongo unaostahili….
Ufafanuzi: Ulimaji wa kina kifupi kwenye kilimo hifadhi
Je, uhifadhi wa kulima kina kifupi ni nini na kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kilimo hifadhi hujumuisha kulima kina kifupi ama kutolima kabisa. Kwa kawaida inahusisha kufanya matuta ya kupanda kwa mkono, au kutumia maksai wa ng’ombe-au trekta na majembe maalum ya kutoboa udongo yaitwayo ripa*. Maelezo juu ya njia hizi mbili…
Taarifa za awali: Kilimo Hifadhi
Utangulizi Siku hizi, wakulima wadogo wadogo wanakumbana na changamoto kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini kilimo hifadhi kimeonyesha kuwa wanaweza kupata mafanikio katika ugumu huu. Kilimo hifadhi kinatoa njia rahisi ambayo wakulima wanaweza kuitumia ili kupambana na athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi na kujifunza kulima mashamba amba kwa kuzingatia “uasilia wake”. Hii…
Nakala juu ya Rutuba ya udongo
Utangulizi Rutuba ya ugongo imefafanuliawa kama “uwezo wa udongo kusambaza idadi ya kutosha ya virutubisho muhimu na maji yanayohitajika kwa ajili ya ukuaji wa mimea maalum ikiongozwa na vigezo vya kemikali, maumbile, kibaiologia kwenye udongo.” Kilimo ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa idadi kubwa ya wakazi wa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la…
Mwanamke Mkenya aliyejikita kwenye kilimo hifadhi na kuboresha maisha yake
WAHUSIKA Mtangazaji Jenipher Awino, Mkulima KIASHIRIA MTANGAZAJI:Salam, msikilizaji, karibu kwenye kipindi. Leo tutasikia hadithi ya mwanamke mkulima aliyebadilisha maisha yake kwa kujikita katika kilimo hifadhi. Mwanamke huyu anaitwa Jenipher Awino, na anaishi katika kijiji cha Bar Kite magharibi mwa Kenya. Bi Awino amekua mjane miaka kumi na tano iliyopita na ni kama alikata tamaa katika…