Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Miti na kilimo mseto

Wakulima Wanaotumia Njia bora za Kupumzisha Mashamba Lazima Waongeze Fosforasi katika Udongo

Machi 1, 2005

Wahusika Katika kipindi hiki, wenyeji ni Onyango na Rose. Tafadhali tumia majina ambayo wasikilizaji wako watayahusisha na kuyatambua. Rose ana uelewa sana kuhusiana na mada ya kilimo na kilimo mseto (agroforestry). Onyango pia ana hamu sana na anauliza maswali mengi mazuri, lakini wakati mwingine anaonekana kukosa uvumilivu/subira. Wahusika hawa wawili wanatumia njia ya kufurahisha kupeana…