Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Kilimo

Mwongozo kwa watangazaji kwa magonjwa ya mifugo

Aprili 1, 2002

Kuna aina nyingi sana za magonjwa ya mifugo ambapo kwa mtu asiye mtaalam wa mifugo ni vigumu kufahamu. Makala hii hutoa mambo machache ya msingi mnamo kumi na mbili kuhusu magonjwa muhimu zaidi ya mifugo na yanayoenea. Maelezo haya ni ya msingi, lakini yanaweza kukusaidia kuamua magonjwa ya kuzingatia wakati wa kubuni kipindi cha redio….