Maswali ya mahojianos

Wote
  • Wote
  • Afya
  • Afya ya udongo
  • Kilimo
  • Lishe
  • Masuala ya jamii
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Mifugo na ufugaji nyuki
  • Miti na kilimo mseto
  • Shughuli za baada ya mavuno
  • Taarifa za masoko na soko
  • Usawa wa kijinsia
  • Uzalishaji wa mazao

Maswali ya Mahojiano Yaliyopendekezwa: COVID-19 sugu, au COVID -19 ya muda mrefu

Maswali kwa wataalam wa afya kuhusu COVID-19 sugu, au COVID- 19 ya muda mrefu 1. COVID-19 sugu ni nini au COVID-19 ya muda mrefu ni nini? a. Maswali ya kufuatilia: i. Nini husababisha COVID 19 sugu au COVID-19 ya muda mrefu? ii. Ni zipi dalili za COVID 19 sugu au COVID-19 ya muda mrefu? iii.…

Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Athari za janga la COVID-19 kwa wanawake na vikundi vingine vilivyo hatarini

Maswali yaliyopendekezwa kuhusu wanawake na wasichana 1. Je, janga la COVID-19 limeathiri hali ya kiuchumi ya wanawake? a. Kama ndio, kivipi? i. Je, ongezeko la bei za vyakula na vifaa vingine vya nyumbani linaathiri usalama wa chakula wa wanawake na familia zao? Ikiwa ndivyo, ni kwa jinsi gani? ii. Kwa wanawake ambao walilazimika kufunga biashara…

Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19

1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini. a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia? a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala…

Maswali ya Mahojiano yaliyopendekezwa: Taarifa za chanjo ya COVID-19 na hatua za kuzuia Maambukizi

1. Kwa nini chanjo zilitengenezwa kuzuia COVID-19 badala ya tiba za kawaida kama vile dawa za kumeza? a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Je, chanjo ni rahisi zaidi na haraka kutengeneza kuliko dawa? a.i.1. Ni muda gani inachukua kutengeneza chanjo ya COVID-19? a.i.1.a.Ni kwa namna gani chanjo ya COVID-19 ilitengenezwa kwa haraka? a.ii. Je, kwa sasa…