Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Taarifa za masoko na soko

Ni muhimu kuuza kwa pamoja: Faida za soko la pamoja

Septemba 23, 2014

KIASHIRIA KINASIKIKA NA KUPOTEA MTANGAZAJI: Habari, na karibu katika kipindi hiki maalum kuhusiana na zao la muhogo. Je wajua? Kipindi cha hivi karibuni muhogo umekua chakula cha kawaida sana mitaani? Yeyote anaweza kununua kipande cha mjhogo mbichi au uliokaangwa kwa kiwango kidogo cha kama shilingi mia za kitanzania, unaweza kuipata kandokando ya barabara au katika…