Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Mifugo na ufugaji nyuki

Utangulizi katika kuthibiti magonjwa ya mifugo: Ugonjwa wa mfumo wa hewa na ugonjwa wa kuhara damu

Julai 3, 2019

Utangulizi:   Je ni kwanini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Ili wakulima wajue jinsi ya kujihami na ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa. Ili wakulima weweze kugundua dalili za ugonjwa wa kuhara damu na ugonjwa wa mfumo wa hewa kwenye mifugo yao na kugundua mifugo iliyoathirika na magonjwa hayo. Ili…

Utunzaji wa ndama na mama yake

Agosti 10, 2018

PEACOCK: Leo, nina vidokezo kwa mtu yeyote ambaye ana ng’ombe mmoja au zaidi na anataka kuzalisha ndama wenye nguvu na afya ambao hawawezi kupata magonjwa kwa urahisi. Kwa kuanza, kuwa na ndama aliyezaliwa na afya, mama wa ndama lazima awe na afya wakati ndama anakua ndani yake. Ili awe na afya, lazima awe na malisho…

Utangulizi: Ufugaji wa Mbuzi

Mei 28, 2017

Kwa nini somo hili ni muhimu kwa wasikilizaji? Kwa sababu wakulima ambao wanataka kuongeza mbuzi wanapaswa kujua: Umri sahihi na uzito kwa ajili ya mbuzi kuanza uzalishaji na msimu bora wa upandishaji. Mbinu bora za uzalishaji. Dalili za magonjwa ya mbuzi na maambukizi. Jinsi ya kutunza mbuzi wajawazito pamoja na watoto kabla na baada ya…

Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri

Septemba 22, 2016

WAHUSIKA: MARIAM KONÉ: Mwandisi wa habari katika gazeti la Mtangazaji SOUMAÏLA DIAKITÉ: Mfugaji wa kuku, kijiji cha Flaboula MOUSSA KONÉ: Mtaalam kiufundi wa afya ya mifugo MARIAM KONÉ: Mpenzi msikilizaji, habari za wakati huu. Mara nyingine tena, asante kwa kuchagua Radio La voix des paysans [Maelezo ya mhariri: Radio Sauti ya Mkulima.] Karibu katika Maendeleo…

Uvumbuzi wa Neddy: Mfanyakazi wa afya ya wanyama asaidia kijiji kudhibiti ugonjwa wa Kideri

Mei 23, 2012

MSIMULIZI: Katika nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Malawi, wakulima wengi wana angalau kuku mmoja. Kuku hawa ni mifugo ya ndani ambayo huachiliwa kula kwa uhuru. Kwa maneno mengine, ni kuku wanaojilisha. Kuongezeka kwa ugonjwa wa Kideri kunaweza kuua kuku wote wa kijiji. Kideri inaweza kuzuiwa na chanjo. Kwa nini wakulima wengi hawanunui…

Mwongozo kwa watangazaji kwa magonjwa ya mifugo

Aprili 1, 2002

Kuna aina nyingi sana za magonjwa ya mifugo ambapo kwa mtu asiye mtaalam wa mifugo ni vigumu kufahamu. Makala hii hutoa mambo machache ya msingi mnamo kumi na mbili kuhusu magonjwa muhimu zaidi ya mifugo na yanayoenea. Maelezo haya ni ya msingi, lakini yanaweza kukusaidia kuamua magonjwa ya kuzingatia wakati wa kubuni kipindi cha redio….