Unaangalia maandishi ya redio kuhusu Masuala ya jamii

Hasira za Vizuizi: Ukatili wa Kijinsia wakati wa COVID-19

Novemba 5, 2020

Sehemu 1 MAZINGIRA: NYUMBANI KWA FORIWAA WASHIRIKI: FORIWAA, DANIEL, WATOTO (SERWAA, MTOTO, & PAAPA) SFX: MZIKI DANIEL: Mpenzi, tunahitaji kuzungumza. Punguza sauti ya redio na uje hapa. FORIWAA: Ndio, mpenzi. DANIEL: Angalia, nimekuwa nikifikiria juu ya hali yetu hapa nyumbani, na nina wasiwasi sana juu ya maisha yetu. Tangu kuibuka kwa janga hili la COVID-19,…