{"id":14860,"date":"2022-06-11T20:10:04","date_gmt":"2022-06-11T17:10:04","guid":{"rendered":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?post_type=radio-resource-packs&#038;p=14860"},"modified":"2022-06-17T12:04:21","modified_gmt":"2022-06-17T09:04:21","slug":"maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19","status":"publish","type":"radio-script","link":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/","title":{"rendered":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19"},"content":{"rendered":"<p>1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini.<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala zilizoandikwa, vipande vya sauti, n.k.?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 90px\">a.ii.1. Tafadhali toa baadhi ya mifano ambayo wasikilizaji wetu wanaweza kuitambua.<\/p>\n<p>2. Nini maana ya habari za uwongo?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Nini tofauti kati ya habari za upotoshaji na habari za uwongo?<br \/>\na.ii. Tafadhali nipe mfano wa habari za uwongo.<br \/>\na.iii. Ni aina gani ya habari hatarishi zaidi za uwongo na upotoshaji katika jamii yako?<\/p>\n<p>3. Nini maana ya habari feki? Je, ni tofauti na habari za upotoshaji na habari za uwongo? Kama ndivyo, kivipi?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari feki? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Je, kuna habari za uwongo katika vyombo vya habari vya kawaida kama vile TV, redio na magazeti\u2014au ni mtandaoni pekee?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.iii. Habari feki zinaonekanaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala zilizoandikwa, vipande vya sauti, n.k.?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.iv. Je, ni rahisi kutambua habari za uwongo? Ikiwa ndivyo, unaitambuaje?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.v. Tafadhali toa mifano ya habari feki.<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.vi. Je, kuna tofauti kati ya habari feki na makosa katika uwasilishaji? Kama ndio, nini tofauti?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.vii.Tafadhali tupe mifano yoyote maarufu au ya hivi majuzi ya habari feki ambazo wasikilizaji wetu wanaweza kuzitambua.<\/p>\n<p style=\"padding-left: 90px\">a.vii.1. Nini ilikuwa ni madhara ya habari hizi feki?<\/p>\n<p>4. Je, vipi ni baadhi ya vyanzo vya habari za upotoshaji, uwongo, na feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Yapi ni majukwaa maarufu ya kusambaza habari feki?<br \/>\na.ii. Nani anaweza kusambaza habari feki?<\/p>\n<p>5. Nini hatari ya habari za upotoshaji, uwongo na feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Tafadhali toa baadhi ya mifano ya jinsi habari potofu, habari za uwongo na habari feki zimesababisha madhara katika jamii au nchi yetu.<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Ni nani aliye hatarini zaidi kwa habari potofu, habari za uwongo, na habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.iii. Je, ni hali gani mahususi ambapo habari potofu zinaweza kustawi na kuongezeka?<\/p>\n<p>6. Je, kumekuwa na habari nyingi za uwongo, habari potofu, na habari feki wakati wa janga la COVID-19, na kuhusu chanjo za COVID-19?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Kama ndivyo, kwanini?<br \/>\nb. Kuna maswala mengine ambayo yanaonekana kutoa habari nyingi za uwongo na feki? Kwa nini?<br \/>\nc. Kwa nini habari za uwongo na habari feki zinatengenezwa?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">c.i. Je, watu wanapata nini kwa kuunda na kushirikisha habari za uongo?<\/p>\n<p>7. Hadithi nyingi za habari za uwongo zimeundwa ili kuleta &#8220;mshtuko.&#8221; &#8220;mshtuko&#8221; ni nini na inahusiana vipi na habari potofu, habari za uwongo na habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Tafadhali toa mifano ya habari zilizosambazwa &#8220;zenye kuleta mshtuko&#8221; ambazo wasikilizaji wetu wangetambua.<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Je, habari feki zinatengenezwa ili kuibua aina fulani za hisia kwa watu wanaoziona? Kwa nini?<\/p>\n<p>8. \u201cFikra muhimu\u201d ina maana gani katika muktadha wa vyombo vya habari, na inawezaje kutumiwa kutambua habari za uwongo, habari potofu na habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Je, watu wanawezaje kufikiri kwa kina kuhusu kile wanachosoma mtandaoni, kwenye mitandao ya kijamii, kwenye magazeti, kuona kwenye TV au kusikia kwenye redio?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Je, kuna vidokezo na mbinu ambazo watu wanaweza kutumia ili kufikiria kwa kina kuhusu mambo wanayoona kwenye vyombo vya habari?<\/p>\n<p>9. Mtu anawezaje kutambua habari potofu, habari za uwongo, au habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Je, kuna zana, ikiwa ni pamoja na zana za mtandaoni, ambazo watu wanaweza kutumia ili kutambua habari potofu au habari za uwongo?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Inamaanisha nini &#8220;kuangalia chanzo&#8221;?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.iii. Kwa nini ni muhimu kwamba kila mtu aweze kutambua habari potofu, habari za uwongo na habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.iv. Uchunguzi wa ukweli ni nini?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 90px\">a.iv.1. Ni aina gani ya zana ambazo watu wanapaswa kutumia ili kuangalia ukweli wa kile wanachokiona kwenye mitandao ya kijamii, kusikia kwenye redio, au kusoma kwenye gazeti?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 90px\">a.iv.2. Je, mtu anapaswa kufanya nini mara tu anapogundua habari potofu, habari ya uwongo na habari feki?<\/p>\n<p>10. Umeshirikisha habari za uwongo, unapaswa kufanya nini sasa?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Je, kuna adhabu za kisheria kwa kushirikisha au kuunda habari potofu, habari za uwongo na habari feki?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.ii. Ikiwa mtu ataona picha, meme, au picha kwenye kikundi cha WhatsApp kwa mfano, na hafikirii kuwa ni ya kweli, anapaswa kufanya nini?<\/p>\n<p>11. Wasikilizaji wanaweza kufanya nini ili kupambana na habari zisizo za kweli, habari za uwongo na habari feki katika jumii yao?<\/p>\n<p style=\"padding-left: 30px\">a. Maswali ya kufuatilia:<\/p>\n<p style=\"padding-left: 60px\">a.i. Je, ni rasilimali zipi za jamii au ushirikiano tunaoweza kutumia ili kupambana na taarifa potofu, habari za uwongo na habari feki?<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini. a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia? a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala&hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":142,"featured_media":0,"parent":13520,"menu_order":0,"template":"","meta":{"footnotes":"","beyondwords_generate_audio":"","beyondwords_integration_method":"","beyondwords_project_id":"","beyondwords_content_id":"","beyondwords_preview_token":"","beyondwords_player_content":"","beyondwords_player_style":"","beyondwords_language_code":"","beyondwords_language_id":"","beyondwords_title_voice_id":"","beyondwords_body_voice_id":"","beyondwords_summary_voice_id":"","beyondwords_error_message":"","beyondwords_disabled":"","beyondwords_delete_content":"","beyondwords_podcast_id":"","beyondwords_hash":"","publish_post_to_speechkit":"","speechkit_hash":"","speechkit_generate_audio":"","speechkit_project_id":"","speechkit_podcast_id":"","speechkit_error_message":"","speechkit_disabled":"","speechkit_access_key":"","speechkit_error":"","speechkit_info":"","speechkit_response":"","speechkit_retries":"","speechkit_status":"","speechkit_updated_at":"","_speechkit_link":"","_speechkit_text":""},"script-format":[595],"package":[813],"script-category":[873],"class_list":["post-14860","radio-script","type-radio-script","status-publish","hentry","script-format-maswali-ya-mahojiano","package-813","script-category-afya"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v27.3 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini. a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia? a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala&hellip;\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2022-06-17T09:04:21+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:site\" content=\"@farmradio\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"4 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"Farm Radio International\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\"},\"headline\":\"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19\",\"datePublished\":\"2022-06-11T17:10:04+00:00\",\"dateModified\":\"2022-06-17T09:04:21+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/\"},\"wordCount\":813,\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/\",\"name\":\"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\"},\"datePublished\":\"2022-06-11T17:10:04+00:00\",\"dateModified\":\"2022-06-17T09:04:21+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\\\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Nyumbani\",\"item\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Rasilimali kuhusu Ugonjwa wa Corona (COVID-19)\",\"item\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/covid-19-resources\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":3,\"name\":\"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"description\":\"Sharing knowledge, giving voice.\",\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"width\":200,\"height\":75,\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"image\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/x.com\\\/farmradio\",\"https:\\\/\\\/www.instagram.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/www.youtube.com\\\/user\\\/FarmRadioInt\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"url\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"sameAs\":[\"http:\\\/\\\/frrp.wpengine.com\"]}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International","og_description":"1. Tafadhali eleza upotoshaji ni nini. a. Maswali ya kufuatilia: a.i. Wapi ambapo mtu anaweza akaona habari za kupotosha? Wanaweza wakaziona, kwa mfano kwenye mtandao wa intaneti, katika mitandao ya kijamii au WhatsApp? Wapi pengine wanaweza wakaona au kuzisikia? a.ii. Habari za upotoshaji zinaonekanaje au zinasikikaje? Kwa mfano, zinakuja katika mfumo wa picha, video, makala&hellip;","og_url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/","og_site_name":"Farm Radio International","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","article_modified_time":"2022-06-17T09:04:21+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_site":"@farmradio","twitter_misc":{"Est. reading time":"4 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/"},"author":{"name":"Farm Radio International","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786"},"headline":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19","datePublished":"2022-06-11T17:10:04+00:00","dateModified":"2022-06-17T09:04:21+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/"},"wordCount":813,"publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/","name":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19 - Farm Radio International","isPartOf":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website"},"datePublished":"2022-06-11T17:10:04+00:00","dateModified":"2022-06-17T09:04:21+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-CG","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19\/maswali-ya-mahojiano-yaliyopendekezwa-habari-za-uwongo-habari-potofu-na-covid-19\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Nyumbani","item":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Rasilimali kuhusu Ugonjwa wa Corona (COVID-19)","item":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/covid-19-resources\/"},{"@type":"ListItem","position":3,"name":"Maswali ya mahojiano yaliyopendekezwa: Habari za Uwongo, Habari potofu na, COVID-19"}]},{"@type":"WebSite","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","name":"Farm Radio International","description":"Sharing knowledge, giving voice.","publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"Organization","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization","name":"Farm Radio International","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","contentUrl":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","width":200,"height":75,"caption":"Farm Radio International"},"image":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","https:\/\/x.com\/farmradio","https:\/\/www.instagram.com\/farmradio\/","https:\/\/www.youtube.com\/user\/FarmRadioInt"]},{"@type":"Person","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786","name":"Farm Radio International","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","caption":"Farm Radio International"},"sameAs":["http:\/\/frrp.wpengine.com"]}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/14860","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script"}],"about":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/radio-script"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/142"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/14860\/revisions"}],"up":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/13520"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=14860"}],"wp:term":[{"taxonomy":"script-format","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-format?post=14860"},{"taxonomy":"package","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/package?post=14860"},{"taxonomy":"script-category","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-category?post=14860"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}