{"id":12548,"date":"2016-09-22T20:54:57","date_gmt":"2016-09-22T17:54:57","guid":{"rendered":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?post_type=radio-resource-packs&#038;p=12548"},"modified":"2024-04-23T15:43:16","modified_gmt":"2024-04-23T12:43:16","slug":"mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri","status":"publish","type":"radio-script","link":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/","title":{"rendered":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri"},"content":{"rendered":"<p><strong>WAHUSIKA:<\/strong><\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Mwandisi wa habari katika gazeti la Mtangazaji<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Mfugaji wa kuku, kijiji cha Flaboula<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Mtaalam kiufundi wa afya ya mifugo<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Mpenzi msikilizaji, habari za wakati huu. Mara nyingine tena, asante kwa kuchagua Radio La voix des paysans [Maelezo ya mhariri: Radio Sauti ya Mkulima.] Karibu katika Maendeleo vijijini, kipindi cha kila wiki. Leo, tunawasilisha hadithi ya mkulima mdogo wa kuku ambaye anakabiliwa na ugonjwa wa kideri.<\/p>\n<p>Jina langu ni Mariam Kon\u00e9 na mimi ni mwandishi wa habari wa Mtangazaji, gazeti linaloongozwa na wanawake. Tutaongozana pamoja kwenda kijiji cha Flaboula, katika Wilaya ya Bougouni, kilomita 160 kutoka Bamako. Katika kipindi hiki tunajifunza jinsi mkulima Souma\u00efla Diakit\u00e9 alivyoweza kuokoa kuku dhidi ya ugonjwa wa kideri, kwa sababu ya ushauri wa wataalam wa mifugo. Baada ya ugonjwa kuzuka kwenye kuku zake, mkulima huyu mdogo hakuacha ufugaji, lakini alileta kuku wapya. Wakati huu, aliamua kumuita mtaalam wa mifugo. Mtaalamu anampa ushauri na anawapa kuku zake chanjo. Hebu sasa tusikilize hadithi ya mkulima.<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI ZA UFUGAJI KWA SEKUNDE CHACHE, KISHA SHUSHA SAUTI CHINI ISIKIKE KWA MBALI<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Ni saa 6:30 mchana, na sisi ni shamba la Souma\u00efla Diakit\u00e9. Shamba lipo katika eneo la misitu nyuma ya kijiji. Mheshimiwa Diakit\u00e9 alitoa sehemu moja ya msitu kujenga &#8220;ngome&#8221; yenye kuvutia na matofali yaliyokaushwa kwa jua na majani. Mti wa shea umesimama katikati ya ua, na kuku, ndege aina ya kanga, na ndege wachache wa Uturuki hukaa katika kivuli chake kupunga upepo ili kuepuka jua kali. Mwelekezi wangu na mimi tulitembea kilomita tisa chini ya jua hilo ili kuhoji mkulima mdogo kwenye shamba lake la kuku.<\/p>\n<p>Kelele ya pikipiki yetu iliwazindua ndege, ambao wamesambaa kwenye bustani iliyojaa majani. Kuna mabanda ya kuku mwishoni mwa ua la nyumba, na mkusanyiko wa mahindi, mtama, ulezi, na uwele na mchanganyiko wa nafaka mbalimbali. Dakika chache tu, kuku na ndege na ndege aina ya kanga wametawanya nafaka wakitafuta nafaka ardhini, na mbegu.<\/p>\n<p>Shamba la mahindi linazunguka bustani ya mkulima huyu mdogo. Mtu mrefu aliyevaa suruali ya kijivu na shati nyekundu na vesti yenye matobo madogo madogo anatoka shambani. Ni Souma\u00efla Diakit\u00e9, mwanamume aliyeoa mwenye watoto watatu, licha ya umri wake mdogo. Anatembea kuja kwetu akitabasamu na kuweka masikio ya mahindi aliyovuna shambani chini. Anamsalimia mwelekezi wangu kwanza kabla ya kunifikia na kunishika mkono kwa heshima na kunisalimia kwa kumaanisha.<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI YA NDEGE WA MWITUNI NA KUKU ZIKICHANGANYIKA NA MAZUNGUMZO YA WATU<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Habari za asubuhi. Bibie! Natumaini hujachoka kwa safari. Barabara zetu haziwezi kupitika wakati wa msimu huu wa mwaka.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Habari za asubuhi, Souma\u00efla. Ninaendelea vizuri, shukrani. Mimi ni Mariam Kon\u00e9 kutoka gazeti Mtangazaji. Nimekuja hapa kuzungumza na wewe kuhusu ugonjwa wa kideri. Nilichagua shamba lako kwa sababu wanakijiji waliniambia kuwa unapenda ufugaji wa kuku, lakini ugonjwa huu umekuwa kikwazo kuzuia maendeleo yako. Souma\u00efla, ugonjwa huu ni nini na kwa nini wanakijiji wote huita &#8220;ugonjwa mkubwa wa mlipuko&#8221;?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Pia tunauita &#8220;tingatinga la banda la kuku.&#8221; Wakati ugonjwa unaingia ndani ya banda la kuku, manyoya pekee ndiyo yanakubakia. Watu wengine huita &#8220;uti wa mgongo wa kuku&#8221; kwa sababu baadhi ya kuku wanapooza na hata kuwa vipofu, baada ya kuteswa kwa kuhara. Kuku zingine huwa kama vichaa.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Vichaa?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Ndio, wanayumba wakati wanatembea na kufanya sauti za ajabu ajabu. Wanafanya kama vile watu wenye kichaa waliopotea porini.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Ulikutana nao wakati gani na ugonjwa huu wa kideri?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Nilipoanza ufugaji wa kuku. Ugonjwa huu ni wa zamani ambao tumeweza kuudibiti kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Wafugaji wote wa kuku ambao wana mabanda ya kuku wanakabiliwa na ugonjwa huu, hata kama si wafugaji wakuu. Ndiyo sababu, kila mwaka, watu wanatafuta kizazi kipya cha vifaranga kujaza nyumba zao kabla ya ugonjwa huo kurudi tena.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je ni wakati gani katika mwaka ugonjwa huu hutokea?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Inatokea wakati wa baridi, kati ya Novemba na Februari. Ndio wakati kuku wa jirani zangu huugua.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je! umewahi kujiuliza kwa nini wakati huu ni hatari kubwa sana kwa kuku zako?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Kulingana na wazee, ni upepo ndio huleta ugonjwa huo. Lakini tangu nilipopoteza kuku wengi, nilikwenda Bougouni kumwomba mtaalam wa mifugo kama angeweza kutembelea kuku zangu na kufanya kitu hivyo ugonjwa huu haukuwashika kuku zangu kwa mwaka huu.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je! Ugonjwa huo uliathiri kiasi gani wakati wa mwisho ulipovamia kuku zako?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Miezi nane iliyopita, kulikuwa na kuku zaidi ya 80 katika banda langu la kuku. &#8220;Ugonjwa mkubwa wa mlipuko&#8221; uliharibu kizazi chote. Sasa, nina kuku 50 tu walioachwa. Habari njema ni kwamba kuku zangu watano wametotoa vifaranga wiki mbili zilizopita.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Kwa nini umengojea muda huu wote kabla ya kumwomba bwana mifugo akusaidie?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Nilikuwa nawapa chanjo kuku zangu mwenyewe mapema kabla ya msimu, kabla ya ugonjwa huo. Lakini, mara nyingi, kuku waliugua siku chache baadaye, na wengi walikufa.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je! Unakumbuka uliwapoteza kuku wangapi baada ya kuwapa chanjo kuku zako?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Nilipoteza karibu thelathini. Ilikuwa Februari iliyopita.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je, mtaalam wa mifugo alikupa ushauri kabla ya kuidhinisha chanjo?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Hapana.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Na wewe hakumwuliza ushauri wowote? Una uhakika yeye ni mtaalam wa mifugo halisi?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> (AKICHEKA) Uko sawa. Mimi tu nilinunua dawa ya chanjo. Ananiuzia bila ushauri wowote. Kwa sababu anauza bidhaa za wanyama, kila mtu anamwita mtaalam wa mifugo.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je! Unanunua wapi tena chanjo au bidhaa za kutibu kuku zako?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Mara nyingi ninanunua kutoka kwa muuzaji wa mitaani ambaye anakuja kwenye soko la kijiji chetu kila wiki.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je, yeye huuza bidhaa gani?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Anauza madawa ya kutibu magonjwa mengine.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Kama vile\u2026?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Kuna chupa ndogo za dawa ya kuua chawa, vimelea, na hasa ugonjwa wa malale, inayoitwa buganw ka sumayia katika lugha ya Bambara.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> SAWA. Nadhani mtaalamu wa mifugo atakuja na kutupa maelezo.<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI ZA PIKIPIKI IKIKARIBIA<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Kwa hiyo, hebu eleza kumhusu mtaalam wa mifugo &#8230;<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Na ninao uhakika atakuja!<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (AKICHEKA). (Maelezo ya Mhariri: mwandishi hutaja msemo na kusema: &#8220;Ongea juu ya shetani na ana hakika kuonekana.&#8221;)<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI YA PIKIPIKI POLEPOLE IKIWASILI, KISHA PANDISA SAUTI ZA KUKU NA NDEGE WAKIKIMBIAKIMBIA, KISHA UTULIVU.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (HADHIRA) Mtu mfupi anaegesha pikipiki yake nyekundu aina ya skuta chini ya mti wa shea katikati ya bustani. Anavua kofia yake ya pikipiki na anasema hello.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Habari ya asubuhi!<\/p>\n<p><strong>MARIAM AND<\/strong><\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA:<\/strong> Salama. Habari ya asubuhi.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Mariam, huyu ni Moussa Kon\u00e9, ni fundi na mtaalam wa mifugo kutoka Bougouni ambaye nimesema habari zake.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Habari za asubuhi. Imekuwa vema kukutana nawe. Mimi ni Mariam Kon\u00e9, mwandishi wa habari wa gazeti la Mtangazaji. Inaonekana kwamba idadi kubwa ya kuku hufa hapa. Nimekuja hapa kuona mambo mwenyewe. Napenda kuhojiana nawe ili uweze kutuambia zaidi kuhusu ugonjwa huu wa kuku?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Itakuwa ni furaha yangu kufanya hivyo. Lakini napenda kuchunguza ndege wachache na kukagua mabanda ya Souma\u00efla kwanza. Ungependa kuwa msaidizi wangu?<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Sawa. Nifanye nini kwanza? Je! Unanitaka mimi nibebe mkoba wako?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> La hasha. Kwanza kabisa, angalia kile ninachokifanya.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (AKICHEKA) Hilo alina tatizo!<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (HADHIRA) Mtaalamu wa mifugo anainama kidogo, na kuingia ndani ya banda la nyumba ya kuku ya kwanza, na kuzungusha macho kukagua banda kwa kifupi. Anafanya jambo lile lile kwa nyumba ya pili ya kuku. Nami ninasimama ndani ya banda la kuku. Ni joto sana. Sakafu imefunikwa na vitu vyeupe na vyeusi na harufu mbaya. Baada ya kuchukua hatua chache ndani, Moussa Kon\u00e9 akakimbia hadi mlangoni na akatoka kuelekea kwenye mti wa shea ambapo kuku na ndege aina ya kanga wamepumzika wakifurahia kivuli cha mti kukwepa joto la jua kali.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> (AKIONGEA NA SOUMA\u00cfLA) Nilitathmini nyumba za kuku zako. Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kuweka dawa ya kuua wadudu kabisa kabisa. Banda lako la kuku halitunzwi vizuri. Kuna uchafu uliogandamana, sakafu imejaa unyevunyevu na ni baridi, na pananuka vibaya.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Kweli! Kwa jinsi gani?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Lazima uangalie sakafu, choma vinyesi vya kuku, na kisha pia nyunyiza nyumba yako na dawa ya kuua wadudu. Pia, mimi nakushauri kuanzia sasa usiwachukulie kuku zako kwa urahisi. Unasema unawapa chanjo kuku na kanga zako peke yako. Lakini kuna mchakato maalum unapaswa kufuata ili kuzuia ugonjwa wa kideri. Utahitaji kuchukua mafunzo na kupata chanjo zinazozingatia viwango. Ili kuzuia kuku zako kuambukizwa na ugonjwa wa kideri, lazima uzingatie ratiba ya chanjo na matibabu sahihi.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Sawa. Masikio yangu yote yanasikia.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Kwanza, tunapaswa kuwachanja vifaranga mara tu wanapokuwa wameanguliwa na kisha kuwapa kipimo cha kuwakuza wiki moja au siku 15 baadaye. Baada ya kila chanjo, lazima tuwape dawa kuwaondolea mfadhaiko. Hii imetengenezwa kwa kiuavijasumu na vitamini. Kiuavijasumu na vitamini huondoa haraka ndege kutokana na matatizo ambayo husababishwa na chanjo na inapunguza kushindwa kwa chanjo. Kwanza, tutaenda kutoa chanjo kwa vifaranga vyenye siku 15 au zaidi.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (KWA HADHIRA) Bila kusema neno, mkulima mdogo alielekea katika banda ambapo alikusanya vikapu vitatu vilivyotengenezwa na vichaka vya mashina ya mitende. Kuna kuku na ndege ya kanga katika vikapu hivi.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (KWA MKULIMA) Je kuku zako tayari wameshaandaliwa?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Ndiyo.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Hebu nione. (SAUTI YA CHUMBA NDOO IKISHIKWA MKONONI) Ndiyo, naona chanjo ya ugonjwa wa kideri, lakini nyingine ni dawa ya wanyama, kama ng&#8217;ombe na mbuzi. Hii sio mzuri kwa kuku!<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> (AKISISTIZA) Lakini mmoja wa marafiki zangu katika kijiji kingine alinipa. Anatoa kwa kuku na ndege ya kanga, na wana afya nzuri.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Unaweza kunipa jina lake?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Jina lake ni Amadou Coulibaly.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Je! Tunazungumzia kuhusu Amadou huyo aliye na Djakarta ya bluu? (Maelezo ya Mhariri: &#8220;Djakarta&#8221; ni aina ya pikipiki inayotumiwa na watu nchini Mali.) Ikiwa ndiye huyo, nilikwenda kwake juma la jana ili kutoa chanjo kwa kuku na ndege ya kanga. Kuku zake hufanya vizuri si kwa sababu anawapa madawa haya, lakini kwa sababu anatumia ushauri niliyompa ili kuzuia ugonjwa wa kideri.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Kweli?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Ndiyo. Dawa hii inapendekezwa kwa magonjwa ya wanyama, na inatumiwa kwa ng&#8217;ombe kwa kipimo cha kilogram 100 au zaidi. Kwa hivyo nakushauri kuacha kuchanja kuku zako kwa dawa hii.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Ninakuelewa.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Souma\u00efla, kwa nini umeweka vifaranga katika kikapu?<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Si rahisi kushika vifaranga. Ndio maana mimi nimewaweka katika vikapu ili kupata chanjo.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Msaidizi wangu, unaweza kuniletea chupa tupu imefungwa kwenye pikipiki?<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Ndiyo, bwana!<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Mafunzo yenye nguvu sana hii! (KICHEKO)<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (KWA HADHIRA) Nina chupa tupu, ambayo ndani yake ni ina rangi nyeupe.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Asante.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (KWA HADHIRA, POLE POLE) Mtaalamu wa ufugaji wa mifugo hufungua chupa tupu na kuondoa kifuniko kama vile Souma\u00efla anayeshikilia. Anajaza sindano. Souma\u00efla anachukua vifaranga mmoja mmoja, na mtaalam wa mifugo huinua mbawa zao tete. Vifaranga vinapigana na kuruka vibaya.<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI YA VIFARANA WAKIKIMBIA NA KULIA SANA KWA SEKUNDE 10, KISHA PUNUZA SAUTI NA ACHA KWA SAUTI YA CHINI.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Hatua kwa hatua, kikapu kinaisha wakati Souma\u00efla akitoa vifaranga ili awape dozi ya chanjo. Kwa kelele ya kusikia iliyofanywa na kuku, bata wa Uturuki, na ndege aina ya kanga, Souma\u00efla, kwa msaada wa mkewe na ndugu yake mdogo, huleta ndege kupewa chanjo. Operesheni yote inakaribia dakika arobaini.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Lakini daktari, kuna chanjo iliyoachwa.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Ndiyo. Chupa hiki kina kutosha kwa ndege 100 na dozi inapaswa kutolewa kwa kila ndege na ni nusu mililita.<\/p>\n<p><strong>SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9:<\/strong> Nilikuwa natumia chupa mbili kwa kuku 60. Nadhani nilikuwa nikifanya makosa.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> (KWA MOUSSA KON\u00c9) Ninaona kwamba unaweka chanjo yako kwenye baridi, tofauti na chanjo za Souma\u00efla, zilizo kwenye meza katika chumba chake cha kulala. Je! Hii inashauriwa?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> (KWA MOUSSA KON\u00c9) Siyo jinsi Souma\u00efla anavyotumia kulinda chanjo, wala dozi aliyowapa kuku wake iliyozingatia viwango vya huduma za mifugo. Chanjo hii lazima ihifadhiwe katika nyuzi nane Celsius za baridi. Ikiwa haihifadhiwi kwenye joto hili, inakuwa sumu kwa kuku. Badala ya kuwalinda, huwafanya wagonjwa.<\/p>\n<p>Wakulima wengi wa kuku hukataa kufuga kuku kwa sababu wanaamini kwamba ni chanjo inayowaua. Lakini chanjo haiwezi kuua; ni mfumo mbaya wa kuhifadhi na kushindwa kutoa dozi sahihi ambayo ni tishio kubwa kwa ndege.<\/p>\n<p>Ninamshauri Souma\u00efla na wakulima wengine wasiisikilize kile ambacho wasio wataalam wanasema. Huduma za mifugo zinapatikana kwa wakulima wote. Wanahitaji tu kujiandaa na watujulishe siku ambayo inawafaa, ili tuweze kuja na kutibu kuku zao. Na sisi tu radhi.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Niambie zaidi kuhusu ugonjwa wa kideri.<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Ugonjwa huja kwa aina tatu: aina ambayo ni kali kidogo tu na ni ya kawaida sana, aina ambayo ni ya kawaida kali kiasi, na aina ambayo ni kali sana.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je &#8220;ukali&#8221; maana yake nini?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Ina maana kwamba ina uwezo wa kusababisha dalili kali za ugonjwa huo. Inategemea aina ya virusi, ugonjwa unaosababisha, jinsi inavyobadilika, na matokeo yake, kwa mfano, idadi ya kuku wagonjwa, idadi ya kuku waliokufa, na wakati wa kuingizwa.<\/p>\n<p>Katika baadhi ya matukio, shinikizo lenye virusi linaweza kuua ndege wengi, ingawa ndege huonyesha ishara chache za ugonjwa huo.<\/p>\n<p>Pamoja na aina kidogo ya virusi, kuku pia wanaweza kufa bila kuonyesha dalili yoyote, isipokuwa manyoya kusimama, mabawa kulegea, na ukosefu wa nishati na hamu ya kula.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Nini kuhusu ugonjwa wa kawaida au wenye nguvu? Je! Ndege wana aina hizi za ugonjwa huangalia na sauti yake kama ya nini?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Kuku wenye virusi ya kawaida wana matatizo ya kupumua kama vile kukohoa, kupiga chafya, na sauti ndogo za kukoroma wakati wanapumua. Ishara nyingine ni uvimbe wa kichwa na shingo. Kuku zinaweza kuharisha kijani, na uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Wakati mwingine mayai husababishwa kukosa sura nzuri.<\/p>\n<p>Ndege zilizo na ugonjwa zinaweza kutetemeka au kuchanganyikiwa. Wanaweza pia kuwa na shida ya kutembea na katika mbawa na miguu yao, kutembea kwa mzunguko, kiarusi, kupepesuka, au kupooza. Kunaweza kuwa na kuhara kinyesi cha kijani, uzalishaji wa mayai unaweza kuacha au kupunguzwa, na mayai yanaweza kuwa na rangi isiyo ya kawaida, sura, au ganda.<\/p>\n<p>Vifo vinaweza kufikia 100%. Aina hii ya ugonjwa wa kideri unaweza kuwa kama mafua ya ndege. Mafua ya ndege yanaambukiza sana. Unaenea kwa haraka na wanadamu wanaweza kuharibiwa na ndege wagonjwa au kwa kutumia vifaa vichafu. Wanadamu wanaweza kufa kutokana na homa ya ndege. Ndiyo sababu unapaswa kutoa ripoti pale ambapo kuna vifo vingi vya ndege wa kufugwa ndani na a mwitu kwenye mamlaka husika.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je ugonjwa huu unaeneaje?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Ugonjwa wa Kideri mara nyingi huenea kwa kukaribiana na ndege wagonjwa &#8211; ama kwa njia ya kugusa kinyesi au kupitia hewa kama makamasi, mate, au kwa njia ya chakula kilichoathirika, maji, vifaa, au nguo za kibinadamu.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Je unapendekeza njia zipi za matibabu?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Hakuna tiba ya ugonjwa wa Kideri. Njia pekee ya kuzuia ni kwa kuwapa kuku chanjo.<\/p>\n<p>Wakulima wanapaswa kuhakikisha kuwa kuku wanachanjwa mara tu wanapokuwa wameanguliwa na kuwapa chakula cha kukuzia kwa wiki moja baadaye, au siku kumi na tano na zaidi. Hii inaweza kusaidia kuzuia ndege kwa miezi mitano au sita dhidi ya ugonjwa wa Kideri. Chakula cha kukuzia kinaponya chanjo ambazo zilishindwa.<\/p>\n<p>Pia, wafugaji wa kuku wanapaswa kuweka taratibu za ufanisi kuzuia ugonjwa wa kuingia kwenye shamba lao au kuku zake. Wakati virusi vitakavyoonekana katika kundi lisilo na afya njema, wafugaji wanaweza kuhakikisha kwamba ndege zao zote zitaambukizwa ndani ya siku mbili hadi sita.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Moussa Kon\u00e9, umejibu maswali yangu yote. Je, una maneno yoyote ya mwisho?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Kitu cha mwisho nataka kuwaambia wafugaji wa kuku ni kuheshimu mpango wa chanjo. Vifaranga vinapaswa kupatiwa chanjo mara tu wanapokwisha kuanguliwa. Kisha, wanapaswa kupata kipimo cha nyongeza siku saba baada ya chanjo ya kwanza na siku 15 baada, na wanapaswa kupata dozi ya mwisho ya chanjo ya nyongeza siku ya 21.<\/p>\n<p>Baada ya kuku kuchanjwa kuku siku ya kwanza, tunatoa vitamini kwa wakulima ili wachanganye na maji ya kunywa ya vifaranga. Wakulima wanapaswa kutoa vitamini kwa vifaranga wakati wa kipindi kizima cha chanjo.<\/p>\n<p>Hivyo vifaranga vinapaswa kupata kipimo cha nyongeza cha chakula cha kukuzia mara moja kwa wiki kwa wiki tatu zifuatazo chanjo ya kwanza ikiwa unataka kuwa chanjo kabisa dhidi ya ugonjwa wa Kideri. Wakulima hawapaswi kusubiri kipindi cha baridi kabla ya kuandaa ndege. Ugonjwa wa Kideri ni kila mahali, na unaweza kutokea wakati wowote kama kuku hawakupokea chanjo.&#8221;<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Ni nini kinachotokea na chanjo nyingine katika chupa? Je! Utaenda kutupa mbali, au &#8230;?<\/p>\n<p><strong>MOUSSA KON\u00c9:<\/strong> Hapana. Nitakwenda kijiji kilicho karibu na kuchanja kuku za wafugaji watatu. Ninaenda sasa. Asante kwa msaada wako. Wewe ni msaidizi mzuri! (KICHEKO)<\/p>\n<p><strong>SFX:<\/strong> SAUTI YA PIKIPIKI IKIPUNGUZWA IKIPOTEA MBALI. SAUTI YA KUKU WAKILIA NA KUOGOPA NA KUSHUSHA CHINI POLE POLE.<\/p>\n<p><strong>MARIAM KON\u00c9:<\/strong> Msikilizaji Mpendwa, tulikuwa na Flaboula na mkulima wetu wa kuku. Ili kuokoa kuku zako na ugonjwa wa Kideri, unapaswa kuchanja vifaranga tangu siku ya kwanza ya kuanguliwa hadi siku ya 21. Lazima pia uwape vitamini katika kipindi hicho cha chanjo. Usisahau kuwapa kipimo cha chakula cha kukuzia kila wiki, na kusafisha na kufuta nyumba zao mara kwa mara.<\/p>\n<p>Ni muhimu sana kuuliza daima toka mtaalam wa mifugo ili kuchanja kuku, na kutumia ushauri kila ushauri wa mtaalam wa mifugo. Hii ni muhimu ikiwa unataka kuokoa kuku zako kutoka katika ugonjwa wa Kideri.<\/p>\n<p>Asante kwa tahadhari yako ya aina hii Natumaini ulikuwa na wakati mzuri wa kusikiliza Sauti ya Mkulima. Tutaonana wiki ijayo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WAHUSIKA: MARIAM KON\u00c9: Mwandisi wa habari katika gazeti la Mtangazaji SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9: Mfugaji wa kuku, kijiji cha Flaboula MOUSSA KON\u00c9: Mtaalam kiufundi wa afya ya mifugo MARIAM KON\u00c9: Mpenzi msikilizaji, habari za wakati huu. Mara nyingine tena, asante kwa kuchagua Radio La voix des paysans [Maelezo ya mhariri: Radio Sauti ya Mkulima.] Karibu katika Maendeleo&hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":142,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":2,"template":"","meta":{"footnotes":"","beyondwords_generate_audio":"","beyondwords_integration_method":"","beyondwords_project_id":"","beyondwords_content_id":"","beyondwords_preview_token":"","beyondwords_player_content":"","beyondwords_player_style":"","beyondwords_language_code":"","beyondwords_language_id":"","beyondwords_title_voice_id":"","beyondwords_body_voice_id":"","beyondwords_summary_voice_id":"","beyondwords_error_message":"","beyondwords_disabled":"","beyondwords_delete_content":"","beyondwords_podcast_id":"","beyondwords_hash":"","publish_post_to_speechkit":"","speechkit_hash":"","speechkit_generate_audio":"","speechkit_project_id":"","speechkit_podcast_id":"","speechkit_error_message":"","speechkit_disabled":"","speechkit_access_key":"","speechkit_error":"","speechkit_info":"","speechkit_response":"","speechkit_retries":"","speechkit_status":"","speechkit_updated_at":"","_speechkit_link":"","_speechkit_text":""},"script-format":[517],"package":[759],"script-category":[882],"class_list":["post-12548","radio-script","type-radio-script","status-publish","hentry","script-format-mahojiano","package-759","script-category-mifugo-na-ufugaji-nyuki"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v28.0 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"WAHUSIKA: MARIAM KON\u00c9: Mwandisi wa habari katika gazeti la Mtangazaji SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9: Mfugaji wa kuku, kijiji cha Flaboula MOUSSA KON\u00c9: Mtaalam kiufundi wa afya ya mifugo MARIAM KON\u00c9: Mpenzi msikilizaji, habari za wakati huu. Mara nyingine tena, asante kwa kuchagua Radio La voix des paysans [Maelezo ya mhariri: Radio Sauti ya Mkulima.] Karibu katika Maendeleo&hellip;\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-04-23T12:43:16+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:site\" content=\"@farmradio\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"14 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"Farm Radio International\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\"},\"headline\":\"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri\",\"datePublished\":\"2016-09-22T17:54:57+00:00\",\"dateModified\":\"2024-04-23T12:43:16+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/\"},\"wordCount\":2887,\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/\",\"name\":\"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\"},\"datePublished\":\"2016-09-22T17:54:57+00:00\",\"dateModified\":\"2024-04-23T12:43:16+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Nyumbani\",\"item\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Mahojiano\",\"item\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-muundo\\\/mahojiano\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":3,\"name\":\"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"description\":\"Sharing knowledge, giving voice.\",\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"width\":200,\"height\":75,\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"image\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/x.com\\\/farmradio\",\"https:\\\/\\\/www.instagram.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/www.youtube.com\\\/user\\\/FarmRadioInt\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"url\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"sameAs\":[\"http:\\\/\\\/frrp.wpengine.com\"]}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International","og_description":"WAHUSIKA: MARIAM KON\u00c9: Mwandisi wa habari katika gazeti la Mtangazaji SOUMA\u00cfLA DIAKIT\u00c9: Mfugaji wa kuku, kijiji cha Flaboula MOUSSA KON\u00c9: Mtaalam kiufundi wa afya ya mifugo MARIAM KON\u00c9: Mpenzi msikilizaji, habari za wakati huu. Mara nyingine tena, asante kwa kuchagua Radio La voix des paysans [Maelezo ya mhariri: Radio Sauti ya Mkulima.] Karibu katika Maendeleo&hellip;","og_url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/","og_site_name":"Farm Radio International","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","article_modified_time":"2024-04-23T12:43:16+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_site":"@farmradio","twitter_misc":{"Est. reading time":"14 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/"},"author":{"name":"Farm Radio International","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786"},"headline":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri","datePublished":"2016-09-22T17:54:57+00:00","dateModified":"2024-04-23T12:43:16+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/"},"wordCount":2887,"publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/","name":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri - Farm Radio International","isPartOf":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website"},"datePublished":"2016-09-22T17:54:57+00:00","dateModified":"2024-04-23T12:43:16+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-CG","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/mkulima-anatumia-ushauri-wa-mtaalam-wa-mifugo-ili-kuokoa-kuku-kutokana-na-ugonjwa-wa-kideri\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Nyumbani","item":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Mahojiano","item":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-muundo\/mahojiano\/"},{"@type":"ListItem","position":3,"name":"Mkulima anatumia ushauri wa Mtaalam wa mifugo ili kuokoa kuku kutokana na ugonjwa wa kideri"}]},{"@type":"WebSite","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","name":"Farm Radio International","description":"Sharing knowledge, giving voice.","publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"Organization","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization","name":"Farm Radio International","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","contentUrl":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","width":200,"height":75,"caption":"Farm Radio International"},"image":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","https:\/\/x.com\/farmradio","https:\/\/www.instagram.com\/farmradio\/","https:\/\/www.youtube.com\/user\/FarmRadioInt"]},{"@type":"Person","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786","name":"Farm Radio International","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","caption":"Farm Radio International"},"sameAs":["http:\/\/frrp.wpengine.com"]}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/12548","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script"}],"about":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/radio-script"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/142"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/12548\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=12548"}],"wp:term":[{"taxonomy":"script-format","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-format?post=12548"},{"taxonomy":"package","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/package?post=12548"},{"taxonomy":"script-category","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-category?post=12548"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}