{"id":10564,"date":"2012-12-01T14:57:42","date_gmt":"2012-12-01T11:57:42","guid":{"rendered":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?post_type=radio-resource-packs&#038;p=10564"},"modified":"2018-11-17T00:54:54","modified_gmt":"2018-11-16T21:54:54","slug":"njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima","status":"publish","type":"radio-script","link":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/","title":{"rendered":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d"},"content":{"rendered":"<p><b>Suluhisho la muda mfupi: <\/b><em>Hivi ni vitu unavyoweza kuvifanya hivi sasa, wiki ijayo, na katika miezi inayokuja, bila nyenzo mpya na huwenda bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote yule. <\/em><\/p>\n<p>Tanbihi: Tarakimu katika mabano hurejelea waraka asilia.<\/p>\n<p><b>1. Andika utangulizi unaowavuta wasikilizaji kuendelea kusikiliza: <\/b>Unatakiwa kupata utii wa wasikilizaji kwa kila kisa cha kipindi. Wasikilizaji watakupa dakika chache mwanzoni ili uwashawishi kwamba ni lazima waendelee kusikiliza. Kwa sababu hiyo utangulizi wako lazima uwe moja ya vitu unavyoviandaa ulivyovifikiria kwa makini. Na usitoe tu orodha ya vitu vya kununua. Gusa udadisi na matamanio binafsi ya msikilizaji. <em>Mpe msikilizaji sababu inayogusa hisia zake kusikiliza.<\/em> Kwa mfano, usiseme tu \u201ctutazungumza na mtaalam katika ugonjwa wa x,\u201d bali sema \u201cMbuzi wa Betty Mumo wanakufa kutokana na ugonjwa x. Tutazungumza na mtaalam wa mifugo ambaye atakueleza namna ya kufanya ili hili lisitokee katika mifugo yako.\u201d<\/p>\n<p><b>2. Warejelee wageni wanawake kwa hadhi sawa kama wanaume: <\/b>(7) Hivi ni kwa nini mtangazaji aseme \u201cNinazungumza na Dkt. Stanley Lubo wa chuo cha kilimo,\u201d lakini anapokwenda shambani anasema \u201cHabari mama?\u201d Kwanini asiseme \u201cNinazungumza na mkulima Maria Smith katika kijiji cha Luganda?\u201d \u201cNa kwa nini aseme ninazungumza na mwanamke mrembo katika soko la Zomba?\u201d Wakati hata hakuweza kufikiria kusema \u201cNinazungumza na mwanaume mtanashati sana katika soko la Zomba?\u201d<\/p>\n<p><b>3. Yapambe maneno yanayojenga taswira: <\/b>(26) Unapokwenda kijijini kuzungumza juu ya ugonjwa wa mahindi, awali ya yote, unatakiwa uwe macho ya msikilizaji. Fafanua \u201cpicha kubwa\u201d unapokuwa unaingia kijijini \u2013 watoto wanacheza, wazee wamekaa nje, na kitu chochote kinachokitofautisha kijiji hiki husika \u2013 jengo, mto, duka, hekalu. Kisha \u201cikuze\u201d na pamba maneno yanayojenga taswira ya shamba husika, mkulima na mahindi yaliyoathirika. Hii inawafanya waskilizaji wako wawe pamoja nawe na huamsha shauku yao.<\/p>\n<p><b>4. Hadithi, hadithi, hadithi:<\/b> (29) Kila mtu anapenda hadithi, na redio ina kuwa bora zaidi inapokuwa inazisimulia. Hadithi huwa inahusisha <em>mtu wa kuvutia <\/em>ambaye <em>anakabiliana na tatizo<\/em> na hatimaye Jifunze namna ya kutumia hadithi kuteka na kuwashikilia wasikilizaji wako. Hadithi zinaweza kuwa \u201cza kweli\u201d kama katika habari ya mtoa habari au zinaweza kuwa ni za \u201cuwakilisho\u201d kama katika nusu \u2013 drama. Zote hufanya vizuri.<\/p>\n<p><b>5. Tumia njia nyingine za mawasiliano:<\/b> (44) Redio inaweza kufanya <em>vingi<\/em> lakini haiwezi kufanya <em>kila <\/em>kitu! Kama suala la kilimo linaweza kuwasilishwa vizuri kupitia picha pekee, tafuta namna ya kupata picha kwa ajili ya kuwapa wakulima. Picha hizi huweza kutumika kama marejeleo kwa wakulima wakati wote, tofauti na kipindi cha redio, ambacho hurushwa hewani mara moja au mara mbili. Pengine Idara ya Uenezi huweza kutoa picha kwa ajili ya shule kuwapa wanafunzi ili wazipeleke nyumbani. Pengine picha zinaweza kuwekwa sokoni, na programu yako inaweza kuwaongoza watu kwenda kwenye picha hizo. Pengine kituo chako kina maktaba ambayo wakulima wanaweza kuitembelea ili kuangalia picha za kazi za kilimo ulizozizungumzia redioni.<\/p>\n<p><b>Maboresho ya kati: <\/b><em>Mabadiliko haya huenda yakawa yanahitaji nyenzo mpya na uhusikaji wa uongozi wa kituo. Fikiria kuyatekeleza katika miezi michache ijayo. <\/em><\/p>\n<p><b>6. Toka nenda kwa wakulima vijijini mwao: <\/b>(46) Vipindi vingi sana vya mkulima ni vya studioni na husumbuliwa na hilo tatizo. Simu za mkononi huweza kuwa daraja kati ya mkulima na mtangazaji, lakini hiyo haitoshi. Usafiri ni gharama, lakini ni lazima uende katika mashamba ya wakulima. Wakulima watakuheshimu sana kama watajua umeona upepo unapeperusha udongo mkavu, umesubiri kivuko kwa muda mrefu, umekwama kwenye tope barabarani wakati unakwenda sokoni, na umesikia kilio cha mbuzi mgonjwa. Inawezekana ukawa huwezi kusafiri kila wiki, lakini huenda watangazaji wengine wanaweza \u2013 kwa mfano waandishi na wafanyakazi wa uenezi kwa hakika. Tulipokuwa tukitathimini vipindi ishirini na mbili katika utafiti wa ARRPA, tulibaini kwamba vipindi vilivyotembelea mashamba vilikuwa na ubora wa juu kuliko vile ambavyo havikutembelea. Tafuta nyenzo ya kukufikisha hapo. Na kwa wakati huohuo tembelea soko lililopo karibu nawe na wahoji wakulima.<\/p>\n<p><b>7. Mpango, mpango, mpango: <\/b>(49) Kipindi cha mkulima lazima <em>kisikike<\/em> kama kimeanza chenyewe na chenye kuburudisha. Lakini nyuma ya utulivu huo, usikivu usio rasmi, lazima kuwe na <em>mpango makini. <\/em>Je, <em>tukio <\/em>hili litatimiza kusudi lako la jumla la <em>kipindi chako cha mkulima? <\/em>Je, litapeleka mbele mjadala na utatuzi wa suala lililokita mizizi? Je, linahusisha wakulima wakijadili masuala muhimu ya kilimo? Je, ripoti yetu ya masoko hujumuisha soko ambalo wakulima wanatumia? Haya ni maswali ambayo mwandaaji wa kipindi anapaswa kujiuliza kila wiki, alafu ni lazima afanye kazi inayotakiwa kuwasilisha maudhui \u2013 <em>na<\/em> fanya yasikike hewani kana kwamba jitihada kubwa haikufanyika.<\/p>\n<p><b> Kitu kikubwa: <\/b><em>Mabadiliko haya yatachukua muda lakini yanafaa sana! Yatahitaji kupanga na uhusikaji wa uongozi wa kituo \u2013 na pengine baadhi ya nyezo za kutumia mara moja au hata nyongeza ya zinaoendelea. Lenga kutimiza zile unazoona ni muhimu kwako kwa kipindi cha miezi mitatu au kumi na mbili ijayo.<\/em><\/p>\n<p><b>8. Unda kauli ya jumla inayoonesha kusudi:<\/b> (58) Kituo kinapoamua kufanya kipindi cha mkulima, mara nyingi kazi hiyo hupewa mwandaaji wa kipindi na ni juu yake kuamua nini cha kufanya. Hiyo sio haki kwa mwandaaji au kwa wasikilizaji! Shirikiana na meneja wako kuunda kauli ya jumla inayoonesha kusudi iliyo wazi na yenye manufaa. Mfano mzuri huu hapa:<br \/>\n<i>&#8220;Wakulima Kwanza&#8221; husaidia wakulima wa mkoa wa Tembe kupanda chakula kinachofaa kwa ajili ya familia yao na kuuza na kujenga jumuiya ya wanakijijini inayoeandelea. \u201cWakulima Kwanza\u201d ni kipindi cha kila wiki kinachoburudisha, kinachotoa taarifa wanazohitaji wakulima na wakati wanapozihitaji kutoka katika vyanzo vya kuaminika. Pia kinatoa fursa kwa wakulima kujadili masuala ambayo yana umuhimu kwao. <\/i><\/p>\n<p><b>9. Fanya ubia na watoa huduma za uenezi: <\/b>(59) Redio kwa kiwango kikubwa huwa hudumia wakulima kutoka katika kituo maalum. Mawakala wa uenezi mara kwa mara husafiri kwenda vijijini. Wote wanaweza kuboresha huduma zao endapo watafanya kazi pamoja. (Hili huenda litahitaji mkataba rasmi au MOU inayoonyesha nani anafanya nini).<\/p>\n<p><b>10. Watafute wakulima wajadili masuala muhimu hewani:<\/b> (63) Hakutakuwa na maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika eneo lako <em>kama wakulima hawatakuwa sehemu ya mjadala huo wa maendeleo.<\/em> Kipindi chako kinaweza kutoa \u201cnafasi\u201d nzuri ambapo majadiliano hayo huweza <em>kuanza,<\/em> na ambapo yanaweza <em>kujadiliwa kwa kina<\/em> na ambapo yanaweza <em>kujumuisha wakulima wengi na wengi zaidi wa jinsi zote.<\/em><\/p>\n<p><b><em>Mwisho, vitu vichache vya kuepuka! <\/em><\/b><\/p>\n<p>Kupitia matokeo ya utafiti wa ARRPA (na vipindi vingine vya vituo vya nje), tumekuja na baadhi ya desturi za redio ambazo tunadhani hazina nafasi katika kipindi cha mkulima. Desturi hizo ni hizi hapa. Kuonywa mapena ni kuchukua hatua mapema!<\/p>\n<p><b>11. Kamwe usizungumze na wakulima kwa dharau: <\/b>(69) Tumesikiliza vipindi ambapo waandaaji wanawachukulia wakulima kama watoto wenye utovu wa nidhamu. Tumesikia wafanyakazi wa uenezi wanawalaumu wakulima kwa kutotekeleza njia mpya wanazohamasisha. Tumewasikia waandaaji ambao wanaongeza chumvi kwa kuwasifia wakulima na kufanya ionekane ni uongo na bandia. Wakati mwingine watangazaji wanahisi kwamba wako \u201cjuu\u201d ya wakulima, na kwa hiyo kwa kutambua ama kwa kutotambua wanazungumza nao kwa \u201cdharau.\u201d Watangazaji wazuri wa kipindi cha mkulima wanatambua kwamba wakulima hufanya kazi kwa muda mrefu na kwa bidii ili kuboresha afya za familia zao. Watangazaji hawa wanatambua kwamba wana jukumu kubwa kutumia redio ili kuwahudumia wakulima, na kufanya hivyo kwa heshima.<\/p>\n<p><b>12. Usirundike!<\/b> (75) Baadhi ya watangazaji wanafikiri kuwa vipindi vyao ni kama toroli: kadri wapakiavyo ndivyo inavyokuwa bora zaidi. Si kweli! Kipindi ni uhusiano wa sauti kati ya mtangazaji na msikilizaji. Wasikilizaji hawamotishwi na mzigo wa taarifa uliowatupia. Wanamotishwa wanapokuwa wamevutwa na kuongozwa katika taarifa kwa kipimo na ujazo wanaoweza kuelewa. Kama unarundika taarifa na kuwa nyingi, wakulima wengi watajiona kama watu wasioweza, (ingawa sio kosa lao), na wataondoka.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Suluhisho la muda mfupi: Hivi ni vitu unavyoweza kuvifanya hivi sasa, wiki ijayo, na katika miezi inayokuja, bila nyenzo mpya na huwenda bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote yule. Tanbihi: Tarakimu katika mabano hurejelea waraka asilia. 1. Andika utangulizi unaowavuta wasikilizaji kuendelea kusikiliza: Unatakiwa kupata utii wa wasikilizaji kwa kila kisa cha kipindi. Wasikilizaji watakupa&hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":153,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":7,"template":"","meta":{"footnotes":"","beyondwords_generate_audio":"","beyondwords_integration_method":"","beyondwords_project_id":"","beyondwords_content_id":"","beyondwords_preview_token":"","beyondwords_player_content":"","beyondwords_player_style":"","beyondwords_language_code":"","beyondwords_language_id":"","beyondwords_title_voice_id":"","beyondwords_body_voice_id":"","beyondwords_summary_voice_id":"","beyondwords_error_message":"","beyondwords_disabled":"","beyondwords_delete_content":"","beyondwords_podcast_id":"","beyondwords_hash":"","publish_post_to_speechkit":"","speechkit_hash":"","speechkit_generate_audio":"","speechkit_project_id":"","speechkit_podcast_id":"","speechkit_error_message":"","speechkit_disabled":"","speechkit_access_key":"","speechkit_error":"","speechkit_info":"","speechkit_response":"","speechkit_retries":"","speechkit_status":"","speechkit_updated_at":"","_speechkit_link":"","_speechkit_text":""},"script-format":[],"package":[732],"script-category":[],"class_list":["post-10564","radio-script","type-radio-script","status-publish","hentry","package-732"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v27.7 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Suluhisho la muda mfupi: Hivi ni vitu unavyoweza kuvifanya hivi sasa, wiki ijayo, na katika miezi inayokuja, bila nyenzo mpya na huwenda bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote yule. Tanbihi: Tarakimu katika mabano hurejelea waraka asilia. 1. Andika utangulizi unaowavuta wasikilizaji kuendelea kusikiliza: Unatakiwa kupata utii wa wasikilizaji kwa kila kisa cha kipindi. Wasikilizaji watakupa&hellip;\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2018-11-16T21:54:54+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:site\" content=\"@farmradio\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"6 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"Doug Ward\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/bfbf780aa5b3b32e1979bde5e114538c\"},\"headline\":\"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d\",\"datePublished\":\"2012-12-01T11:57:42+00:00\",\"dateModified\":\"2018-11-16T21:54:54+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/\"},\"wordCount\":1182,\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/\",\"name\":\"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\"},\"datePublished\":\"2012-12-01T11:57:42+00:00\",\"dateModified\":\"2018-11-16T21:54:54+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Nyumbani\",\"item\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"description\":\"Sharing knowledge, giving voice.\",\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"width\":200,\"height\":75,\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"image\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/x.com\\\/farmradio\",\"https:\\\/\\\/www.instagram.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/www.youtube.com\\\/user\\\/FarmRadioInt\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/bfbf780aa5b3b32e1979bde5e114538c\",\"name\":\"Doug Ward\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g\",\"url\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"Doug Ward\"}}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International","og_description":"Suluhisho la muda mfupi: Hivi ni vitu unavyoweza kuvifanya hivi sasa, wiki ijayo, na katika miezi inayokuja, bila nyenzo mpya na huwenda bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote yule. Tanbihi: Tarakimu katika mabano hurejelea waraka asilia. 1. Andika utangulizi unaowavuta wasikilizaji kuendelea kusikiliza: Unatakiwa kupata utii wa wasikilizaji kwa kila kisa cha kipindi. Wasikilizaji watakupa&hellip;","og_url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/","og_site_name":"Farm Radio International","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","article_modified_time":"2018-11-16T21:54:54+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_site":"@farmradio","twitter_misc":{"Est. reading time":"6 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/"},"author":{"name":"Doug Ward","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/bfbf780aa5b3b32e1979bde5e114538c"},"headline":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d","datePublished":"2012-12-01T11:57:42+00:00","dateModified":"2018-11-16T21:54:54+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/"},"wordCount":1182,"publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/","name":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d - Farm Radio International","isPartOf":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website"},"datePublished":"2012-12-01T11:57:42+00:00","dateModified":"2018-11-16T21:54:54+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-CG","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/njia-kubwa-za-juu-zaidi-kutoka-njia-sabini-na-tano-za-kuandaa-kipindi-chako-cha-redio-cha-mkulima\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Nyumbani","item":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Njia kubwa za juu zaidi kutoka \u201cNjia sabini na tano za kuandaa kipindi chako cha redio cha mkulima\u201d"}]},{"@type":"WebSite","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","name":"Farm Radio International","description":"Sharing knowledge, giving voice.","publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"Organization","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization","name":"Farm Radio International","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","contentUrl":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","width":200,"height":75,"caption":"Farm Radio International"},"image":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","https:\/\/x.com\/farmradio","https:\/\/www.instagram.com\/farmradio\/","https:\/\/www.youtube.com\/user\/FarmRadioInt"]},{"@type":"Person","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/bfbf780aa5b3b32e1979bde5e114538c","name":"Doug Ward","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/84b3d18c29a503030c1951e6b7663ae27bb8ddb899f9a3eae0d4292bd41891ed?s=96&d=mm&r=g","caption":"Doug Ward"}}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/10564","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script"}],"about":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/radio-script"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/153"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/10564\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=10564"}],"wp:term":[{"taxonomy":"script-format","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-format?post=10564"},{"taxonomy":"package","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/package?post=10564"},{"taxonomy":"script-category","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-category?post=10564"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}