{"id":10525,"date":"2012-12-01T15:02:56","date_gmt":"2012-12-01T12:02:56","guid":{"rendered":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?post_type=radio-resource-packs&#038;p=10525"},"modified":"2017-11-04T00:07:22","modified_gmt":"2017-11-03T21:07:22","slug":"usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake","status":"publish","type":"radio-script","link":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/","title":{"rendered":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake"},"content":{"rendered":"<p><strong>MTANGAZAJI: \u00a0 \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 <\/strong>Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniar\u00e9, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou.<br \/>\nMke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia kipato. Hivyo mara tu baada ya kuolewa, aliamua kuanza kutengeneza pombe ya ulezi, kinywaji cha kienyeji kinachopendwa na wakazi wa vijijini na mjini. Mke wa zongo ni mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wanaotengeneza pombe ya ulezi katika jamii yake. Mwandishi wetu, Adama Zongo, alimhoji ili kuelewa jinsi pombe hiyo inavyotengenezwa. Alianza kwa kutuelezea hatua zinazopitiwa katika utengenezaji wa pombe ya ulezi.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO: \u00a0<\/strong>(<i>Kwa sauti ya haya<\/i>) Utengenezaji wa dolo <i>(Maelezo ya mhariri: jina maarufu la pombe ya ulezi nchini Burkina Faso)<\/i> huhusisha hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ni kupata kimea cha ulezi. Ninapopata kimea cha ulezi, ninakisaga, kisha naongeza maji kwenye kimea cha ulezi kilichosagwa na kusubiri mpaka zile punje za nafaka zituame chini ya chombo. Hatua inayofuata, natengeneza maji ya kunata kwa kuloweka mashina ya mbamia, mboga za majani zenye majimaji kama gundi. Ninachanganya maji haya ya kunata na maji ya kawaida. Kisha nasubiri mpaka kimea cha ulezi kituame chini ya chombo tena.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong>\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0Hatua inayofuata unafanyaje, Bibi Zongo, mara tu kimea cha ulezi kinapotuama chini ya chombo?<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0 Ninautoa ulezi majini na kuuchemsha kwenye moto kwa muda wa saa moja na nusu. Kisha ninaumimina tena kwenye maji yale yale. Maji hayo yanakaa kwa masaa ishirini na nne mpaka yanapokuwa na hali ya uasidi. Kisha ninayafanya yatuame kwa mara ya pili ili kutenganisha makapi na maji ya uasidi.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Unaweza kufafanua \u201cmakapi\u201d ni nini?<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 Makapi ni masalia magumu yanayobaki baada ya kutengeneza <i>dolo. <\/i>Kisha ninarudisha kile kimiminika cha uasidi kwenye moto kwa muda wa masaa mawili. Alafu ninachemsha kwa kutumia mitungi ya udongo wa mfinyanzi iliyochomwa. Ninatumia mitungi; mitano kwa kila pombe inayotengenezwa kutokana na makapi na maji yenye uasidi. Kila mtungi huchukua kiasi cha lita thelathini. Baada ya kuchemsha, ninaacha maji yatuame kwa mara ya mwisho, kisha ninaacha kimiminika kipoe. Halafu ninaongeza hamira. Dolo inakuwa tayari kwa kunywa baada ya siku ya pili ya kuchemshwa.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Sawa, sasa ngoja nieleze kwa muhtasari mchakato mzima kuanzia mwanzo na kuendelea kwa manufaa ya wasikilzaji wetu. Kwanza, unasaga kimea cha ulezi, weka maji kwenye ulezi, na subiri mpaka maji yatulie vizuri.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0Sawa.<\/p>\n<p><strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Kisha unaloweka mashina ya mbamia kwenye maji na kuongeza maji ya kunata kwenye maji ya ulezi, alafu subiri ulezi utuame kwa mara nyingine.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 Sawa kabisa.<\/p>\n<p><strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Kisha unautoa ulezi majini na kuupika kwa muda wa saa moja na nusu, halafu mimina ulezi kwenye maji yaleyale ulimotoa ulezi.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 Hapo sawa.<\/p>\n<p><strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Kisha utayaacha maji yatulie kwa muda wa masaaa 24 mpaka yawe na hali ya uasidi, halafu unayafanya maji yatuame kwa mara ya pili ili kutenganishja makapi na maji.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 Hapo sawa kabisa. Halafu hatua ya mwisho ni kuchemsha maji hayo kwa muda wa masaa mawili. Baada ya maji kupoa, weka hamira. Kisha subiri kwa masaaa 24 na <em>dolo<\/em> inakuwa tayari kwa kunywa.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0Mchakato huo unahusisha hatua mbalimbali. Kama wasikilizaji wetu wowote wanahitaji taarifa kuhusu mchakato huu, wanaweza kupiga simu.<br \/>\n<strong>SFX<\/strong><i>Kwenye kituo chetu na tutawaelezea hatua zote. <\/i><br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0Vizuri sana.<\/p>\n<p><strong>MTANGAZAJI:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Tutarudi mara tu baada ya pumziko fupi kuwaelezea zaidi jinsi Bibi Zongo alivyoboresha maisha yake kutokana na kutengeneza <i>dolo<\/i>.<br \/>\n<strong>SFX<\/strong> <i>Pumziko fupi la muziki<\/i><br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO: \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0<\/strong>Utengenezaji wa dolo hutokana na mazao yanayoliwa na binadamu na wanyama. Bibi Zongo anaelewa jinsi ya kupata faida kutokana na mazao hayo.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0(<i>Tabasamu<\/i>) Hiyo ni sawa! Mabaki yanayotokana na usindikaji wa kimea cha ulezi kuwa pombe ni makapi na hamira. Ndio, pia hamira hutumika kama mali ghafi katika utengenezaji wa <em>dolo. <\/em>Lakini kiasi kikubwa cha hamira huzalishwa wakati wa usindikaji wa pombe. Makapi hutumika kama chakula cha ng\u2019ombe na nguruwe, pia hutumika kama chambo kwa ajili ya kulowea samaki. Hamira huongeza ladha ya chakula, na inatumika kuungia nyama ya kuku. Kwa kuuza hivyo vyote vinavyotokana na usindikaji wa pombe, Huwa napata faranga 500 (kama dola 1 ya kimarekani) kwa kila kilo ya hamira, na faranga 2500 (kama dola 5 za kimarekani) kwa kila mkokoteni uliojaa makapi.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Lakini Bibi Zongo hujipatia fedha kiasi kikubwa zaidi ya hicho. Fedha alizopata kutokana na kuuza <em>dolo<\/em>, alinunua kiwanja cha nyumba ili kuboresha maisha. Kwa kukikodisha kiwanja hicho alijipatia fedha mwishoni mwa kila mwezi. Pia anajishughulisha na ufugaji. Bibi Zongo huwatunza ndama wachache alionunua kutokana na fedha alizopata kwa kuuza pombe ya ulezi. Lakini haitoshi kwa Bibi Zongo kutengeneza <em>dolo<\/em> na kuiuza. Pia huisambaza katika jiji la Ziniar\u00e9.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO: \u00a0\u00a0 <\/strong>(<i>Kwa kujiamini<\/i>) Ninauza pombe kwa wafanyabiashara wanawake. Wananunua chupa moja au mbili na kuziuza kwa wateja. Hivyo nao pia wanajipatia kipato kiasi kutokana na mauzo yao. Hivyo basi kila mtu anajipatia faida, hata kama ni kidogo.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Utengenezaji wa <i>dolo<\/i> ni shughuli ngumu inayohitaji sifa maalum. Bibi Zongo alituambia kwa kifupi kuhusu hilo.<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 Ili kuwa mtengenezaji wa <i>dolo<\/i>, lazima uwe mwenye afya njema na kuwa na nguvu za kimwili. Ninasema hivyo kwa sababu kazi hiyo haiwezi kumalizika kwa siku moja au nusu siku. Kama tayari unacho kimea cha ulezi, Itakuchukua siku mbili kufanya kazi ngumu. Pia lazima uwe imara kuhakikisha mitungi iko tupu, kuchotea pombe kutoka kwenye ndoo zilizojaa kutoka kwenye chombo kimoja hadi kingine, kubeba mizigo ya kuni kupeleka mahali pa kupikia, na kazi nyinginezo.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Bibi Zongo hutumia kuni kutengeneza <em>dolo<\/em>, Hutengeneza pombe kila wakati, Bibi Zongo huweka mitungi yenye ujazo wa lita 30 kwenye mafiga ya moto kila mtungi. Tafakari! Ninaamini kuwa Bibi Zongo anataka kuongea&#8230;<br \/>\n<strong>BERNADETTE ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0 <i>(Bila subira)<\/i> Unaweza kufikiri ninashiriki katika ukataji wa misitu. Ninatambua kuwa ninatumia kiasi kikubwa cha kuni kutengeneza <i>dolo<\/i>. Kuni ni chanzo chetu cha nishati. Licha ya kwamba kuni zimezidi kuadimika katika mkoa wetu. Ndio maana nimechagua kutumia mafiga yenye ubora yanayotumia kuni chache na kuhifadhi moto kwa muda mrefu. Mafiga ni kama kifaa cha kupikia ambapo chungu hukaa juu yake. Kuni huingizwa kupitia uwazi uliopo upande mmoja wa mafiga. Hii husaidia mafiga kuwaka kwa ufanisi: hutumia kuni chache, ninaendelea kutumia kuni huku nikisubiri kusimika mtambo wa baiodaijesta. Huu utakuwa wa gharama ya chini na hautatatumia kuni.<br \/>\n<strong>ADAMA ZONGO:<\/strong> \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Biodijesta ni chombo ambacho kinyesi cha wanyama hubadilishwa na kuzalisha gesi ya methane. Gesi hii inaweza kutumika kupikia, kuangazia na shughuli zingine. Biodigesta ni mtambo wa gharama nafuu na rahisi kuunganisha vifaa vyake. Pia hulinda afya ya Bibi Zongo kwa kumkinga asifikiwe na harufu kali ya moshi wa moto.<br \/>\n<strong>MTANGAZAJI:\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 <\/strong>Wasikilizaji, kipindi cha leo kimekwisha. Kimemleta kwenu mwanamke aliyekuwa akichangia maendeleo ya kiuchumi ya jamii yake kwa kutengeneza <i>dolo<\/i>. Kwa herini na tutaonana katika kipindi kingine. Kama una swali lolote juu utengenezaji wa <i>dolo,<\/i> Tafadhali wasiliana nasi kituoni.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MTANGAZAJI: \u00a0 \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniar\u00e9, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Mke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia&hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":142,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":13,"template":"","meta":{"footnotes":"","beyondwords_generate_audio":"","beyondwords_integration_method":"","beyondwords_project_id":"","beyondwords_content_id":"","beyondwords_preview_token":"","beyondwords_player_content":"","beyondwords_player_style":"","beyondwords_language_code":"","beyondwords_language_id":"","beyondwords_title_voice_id":"","beyondwords_body_voice_id":"","beyondwords_summary_voice_id":"","beyondwords_error_message":"","beyondwords_disabled":"","beyondwords_delete_content":"","beyondwords_podcast_id":"","beyondwords_hash":"","publish_post_to_speechkit":"","speechkit_hash":"","speechkit_generate_audio":"","speechkit_project_id":"","speechkit_podcast_id":"","speechkit_error_message":"","speechkit_disabled":"","speechkit_access_key":"","speechkit_error":"","speechkit_info":"","speechkit_response":"","speechkit_retries":"","speechkit_status":"","speechkit_updated_at":"","_speechkit_link":"","_speechkit_text":""},"script-format":[517],"package":[732],"script-category":[843],"class_list":["post-10525","radio-script","type-radio-script","status-publish","hentry","script-format-mahojiano","package-732","script-category-shughuli-za-baada-ya-mavuno"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v27.4 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"MTANGAZAJI: \u00a0 \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniar\u00e9, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Mke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia&hellip;\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Farm Radio International\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2017-11-03T21:07:22+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:site\" content=\"@farmradio\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"6 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"Farm Radio International\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\"},\"headline\":\"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake\",\"datePublished\":\"2012-12-01T12:02:56+00:00\",\"dateModified\":\"2017-11-03T21:07:22+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/\"},\"wordCount\":1139,\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/\",\"name\":\"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\"},\"datePublished\":\"2012-12-01T12:02:56+00:00\",\"dateModified\":\"2017-11-03T21:07:22+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-redio\\\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Nyumbani\",\"item\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Mahojiano\",\"item\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/mwongozo-wa-muundo\\\/mahojiano\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":3,\"name\":\"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"description\":\"Sharing knowledge, giving voice.\",\"publisher\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-CG\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"url\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/wp-content\\\/uploads\\\/farmRadioLogo.jpg\",\"width\":200,\"height\":75,\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"image\":{\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/x.com\\\/farmradio\",\"https:\\\/\\\/www.instagram.com\\\/farmradio\\\/\",\"https:\\\/\\\/www.youtube.com\\\/user\\\/FarmRadioInt\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"http:\\\/\\\/scripts.farmradio.fm\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786\",\"name\":\"Farm Radio International\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-CG\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"url\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"Farm Radio International\"},\"sameAs\":[\"http:\\\/\\\/frrp.wpengine.com\"]}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International","og_description":"MTANGAZAJI: \u00a0 \u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0 Bernadette Zongo ni mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini. Ameolewa na mwalimu, wana mabinti wawili na kijana mmoja. Mke wa zongo anaishi Ziniar\u00e9, mji ullilopo kilomita thelathini na tano kutoka mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Mke wa Zongo hakutegemea kila kitu kutoka kwa mumewe. Alitaka kufanya shughuli yoyote ambayo ingeweza kumuingizia&hellip;","og_url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/","og_site_name":"Farm Radio International","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","article_modified_time":"2017-11-03T21:07:22+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_site":"@farmradio","twitter_misc":{"Est. reading time":"6 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/"},"author":{"name":"Farm Radio International","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786"},"headline":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake","datePublished":"2012-12-01T12:02:56+00:00","dateModified":"2017-11-03T21:07:22+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/"},"wordCount":1139,"publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/","name":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake - Farm Radio International","isPartOf":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website"},"datePublished":"2012-12-01T12:02:56+00:00","dateModified":"2017-11-03T21:07:22+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-CG","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-redio\/usindikaji-wa-nafaka-kuwa-pombe-ya-kienyeji-shughuli-ya-uongezaji-kipato-kwa-wanawake\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Nyumbani","item":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Mahojiano","item":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/mwongozo-wa-muundo\/mahojiano\/"},{"@type":"ListItem","position":3,"name":"Usindikaji wa nafaka kuwa pombe ya kienyeji: shughuli ya uongezaji kipato kwa wanawake"}]},{"@type":"WebSite","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#website","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","name":"Farm Radio International","description":"Sharing knowledge, giving voice.","publisher":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-CG"},{"@type":"Organization","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#organization","name":"Farm Radio International","url":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","contentUrl":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/wp-content\/uploads\/farmRadioLogo.jpg","width":200,"height":75,"caption":"Farm Radio International"},"image":{"@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/farmradio\/","https:\/\/x.com\/farmradio","https:\/\/www.instagram.com\/farmradio\/","https:\/\/www.youtube.com\/user\/FarmRadioInt"]},{"@type":"Person","@id":"http:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/#\/schema\/person\/69403b70932fd4f67bafd0d0da259786","name":"Farm Radio International","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-CG","@id":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/493231adf65be6b99ae1dc0dfb13ccca3d412c29f85aa9727be6190faa6293cd?s=96&d=mm&r=g","caption":"Farm Radio International"},"sameAs":["http:\/\/frrp.wpengine.com"]}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/10525","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script"}],"about":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/radio-script"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/142"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/radio-script\/10525\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=10525"}],"wp:term":[{"taxonomy":"script-format","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-format?post=10525"},{"taxonomy":"package","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/package?post=10525"},{"taxonomy":"script-category","embeddable":true,"href":"https:\/\/scripts.farmradio.fm\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/script-category?post=10525"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}